Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,603
- 29,747
Jamani wanajukwaa.
Ninatoa wito kwa wote ambao wamepokea zile sms kutoka namba isiyojulikana since ijumaa iliyopita kuhusu chadema na wameathiriwa na ile sms wajitokeze tuandilishe majina na namba zetu tuwapeleke makampuni yetu mahakamani kwa kuingilia mawasiliano bila ridhaa yetu.
Mii kampuni yangu ni zain tukiwa watu kama 100 hivi tunaweza kuishikisha adabu na wao ndipo watawashtaki waliopenyeza huo ujumbe. Tuwadai fidia ambayo watatia akili.
makampuni mengine wafanye vivyohivyo. kama kweli tunataka haki na kukomesha siasa za maji taka ninadhamiria kufungua mashtaka.
naomba kuungwa amkono