Nabii nakushauri acha kugawa passport size kwa wake za watu, utaingia dhambini

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,971
22,163
NABII
Kwako Nabii, jana niliitwa ubungo nikahisi ni kikao cha amani

Kufika nikakuta rafiki yangu kafyumu hatari. Kuuliza nini shida akanisikitisha sana. Hapo nyuma aliwahi kuniambia mkewe anasumbuliwa sana na msg anaitwa aende kuombewa nabii saa 12 kisa kamuota kuna wanawake wawili wanamloga. Nikachukulia kawaida.

Sasa jana mzee akaashika pochi ya mkewe achukue kitu akakuta passport size ya huyu nabii wa Buza

Ushauri Mh nabii vizuri kubadilika gawa maji mchanga chumvi uji ila kugawa picha yako kwa mke watu uachee kabisaa

Hujui madhara ya kuvunja ndoa za watu...huyu mdada ana watoto wanne.. Leo wanaachana utatunza wewee??

watoto wanaingia mtaani wanajiuza wakifa unajua hasara yake

ushauri tu endeleen kuuza maji mchanga mafuta nk haya ya kugawa pptsize zako hii ni kumtamanisha mke wa mtu.

hakuna upako kwenye ppt size hata mara moja.

Sikunjema
 
NABII BUZA
Kwako mh Nabii jana niliitwa ubungo nkahisi nikikao cha amani

Kufika nkakuta rafikiiyangu kafyu m hatare nn shida ...akanisikitisha sana...haponyuma aliwahi kuniambia mkewe anasumbuliwa sana na msg anaitwa aende kuombewa nabii saakuminambili kisa kamuota kuna wanawake wawili wanamloga

Nikachukulia kawaida..sasa jana musee akaashika pochi ta mkewe achukue kitu akakuta passportsize ya huyu nabii wa buza

Ushauri Mh nabii vizuri kubadilika gawa maji mchanga chumvi uji ila kugawa picha yako kwa mkewatu uachee kabisaa

hujuii madhara ya kuvunja ndoa za watu...huyu mdada ana watoto wanne.. Leo wanaachana utatunza wewee??

watoto wanaingia mtaani wanajiuza wakifa unajua hasara yake

ushauri tu endeleen kuuza maji mchanga mafuta nk haya ya kugawa pptsize zako hii n kumtamanisha mke wamtu

hakuna upako kwenye ppt size hatamaramoja


Sikunjema
Mzee uliadimika sana na uandishi wako kama upo kwenye Bodaboda
 
Ila hii dunia ya leo hii, eti Nabii

Huo "Unabii" au "Utume" kakupa nani?

Umelala, umeamka umepiga nyeto, umeenda kula maharagwe yako kibandaumiza unafungua kikanisa cha mabati unapata wafuasi unawapiga sadaka unakodi jengo au wajenga la kwako unajiproclaim "Nabii", "Mtume"

Mk^ndu wako, maviiii.

Afu mijitu na akili zao kabisa zinawafuata na kuwapa sadaka hawa manabii wa mchongo wanaoibuka kila siku, sijui mwamposa, gwajima, mzee wa upako, sijui malisa, hizi sadaka bora tulewee pombe
 
Ndugu acha lawama, MKANYE MKEO.

Vijana mnaoa Wanawake ambao hamuwezi kuwaongoza. kisha mnakuja kuwalaumu manabii bila sababu yeyote.

Be a Man.
Wanawake wakishatekwa na manabii, huwezi kuwaeleza lofote, tena hasa hao manabii wa Buza, Nyantira, wamevunja ndoa nyingi sana, wanawake wanakuwa kama mazombie, hata waelezwe nini hawakubalo, mwisho wa siku ili kulinda ndoa mume anaamua kuwa Mpole tu, hizi changamoto za manabii ni shida, inabidi serikali ipitie upya usajili wa hao manabii, la sivyo watu wataanza kujichukulia sheria mkononi Ni maoni yangu.
 
πŸ˜„ Mtoa mada ukitaka kuandika uzi uwe unashuka kwenye bodaboda kwanza.
 
Kwa guru kumpa disciple picha ni jambo la kawaida katika dini.
Kuna kitu kinaitwa Guru Puja.
Of course,mambo yanaweza kuruhusiwa katika dini lakini yakawa mishsndled or misused.
 
Mzee uliadimika sana na uandishi wako kama upo kwenye Bodaboda
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nimecheka hapa na mbeya. Kama yupo kwenye boda boda kumbe katulia kwenye kochi anatype.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nimecheka hapa na mbeya. Kama yupo kwenye boda boda kumbe katulia kwenye kochi anatype.
Nipooomkuuu
 
Ndugu acha lawama, MKANYE MKEO.

Vijana mnaoa wanawake ambao hamuwezi kuwaongoza. kisha mnakuja kuwalaumu manabii bila sababu yeyote. Misingi ya kiimani kwenye familia inapaswa kuwekwa na Mwanaume. Ukishindwa kusimamia hilo, acha manabii wale tu Mkeo.

Be a Man.
Somavizuri mkewangu hanaujinga wamakanisaa yawahuni tumebatizwa tutafia Lutheran
 
Anaambiwa akihisi shida atazame picha ya nabij

Basi hiyo changamoto itakwisha
Minikisikia mkekakanyaga hayamakanisaujue HILO KANISA LETU NA M NITAKUWA NABIIIII
YEYEMWEKAHAZINA.......
 
Back
Top Bottom