Nabii Flora wa Mbezi Beach

Status
Not open for further replies.

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
flora1.jpg

Pamekua na makanisa mengi ambayo watu wanakimbilia kupata huduma za kiroho na kimwili. Na Nabii Flora ni mmoja wa manabii ambaye amefanikiwa kupata watu wengi
 
Anaganga njaa kwa mgongo wa biblia mwenyewe natafuta eneo nilianzishe.
 
hapo kwenye enzi yake kochi linaonekana comfortable, ila kapu la sadaka kubwa kweli! hana vacancy ya nabii msaidizi mananke nna upako wa kutosha.
Majirani zake wanalalamika anawapigia kelele....nasikia kapigwa pini kuhubiri neno
 
Mimi ni Mkatoliki die hard. Huyu nabii alimpagawisha wife wangu na kutaka kulazimisha tuhamie kwake. Niligoma na amani nyumbani ilitoweka!.

Nilipomuona kwenye TV, ni full mkorogo, katinda nyusi full mawanja ya kupitiliza na nywele za marehemu au artificial, nikachoka, nikamsomesha wife hivi kwa naked ayes only jinsi nabii anavyoonekana, unapata picha ya wazi anamtumikia nani!.

Thanks to God, somo limeeleweka wife amerejea Katoliki na amani imerejea!.

Bwana wetu Yesu Kristu, alisema "sio wote wanaita Bwana Bwana ni wangu!, watakuja watu watatoa mapepo kwa jina langu, lakini sio wangu"!.

Wakamuuliza jee tutawatambuaje?.

Yesu akajibu " Mtawatambua kwa matendo yao"!.

Wito kwa wana jf wenzangu, imani zenu zisitetereshwa kwa miujiza ya manabii hawa, fuatilia matendo yao utawatambua!.
 
Inaonekana hilo kanisa halijaisha vizuri (angalia bado kuna makuti), lakini hilo sofa lake na hiyo coffee table (sijui inatumikaje hapo) leave a lot to be desired.

Kama ningekuwa dar, ningejiunga na mamaMchungaji, Mh Lwa(Rwa)katare, maana nasikia kuna mikopo ya kufa mtu, huu umaskini ungenitoka. Hata waumini wa kanisa lake wameiva zaidi (sio wenye njaa kama hawa wa huyo Flora). Ila nawaambia, haya makanisa ndio yanavyoanza, give her 5 years utakuta anatembelea Vogue na walinzi.
 
Mimi ni Mkatoliki die hard. Huyu nabii alimpagawisha wife wangu na kutaka kulazimisha tuhamie kwake. Niligoma na amani nyumbani ilitoweka!.

Nilipomuona kwenye TV, ni full mkorogo, katinda nyusi full mawanja ya kupitiliza na nywele za marehemu au artificial, nikachoka, nikamsomesha wife hivi kwa naked ayes only jinsi nabii anavyoonekana, unapata picha ya wazi anamtumikia nani!.

Thanks to God, somo limeeleweka wife amerejea Katoliki na amani imerejea!.

Bwana wetu Yesu Kristu, alisema "sio wote wanaita Bwana Bwana ni wangu!, watakuja watu watatoa mapepo kwa jina langu, lakini sio wangu"!.

Wakamuuliza jee tutawatambuaje?.

Yesu akajibu " Mtawatambua kwa matendo yao"!.

Wito kwa wana jf wenzangu, imani zenu zisitetereshwa kwa miujiza ya manabii hawa, fuatilia matendo yao utawatambua!.

ahsante mkuu nimekupata
 
uzuri niliskia waumini wake ni wale wa hali ya juu tu. hahitaji speaker, si ahubiri kwa mdomo tu? speaker haziongezi sadaka wala nini, why bother!

Back
Top Bottom