Nabahatika kufanya interview nyingi ila sipati kazi

Niambie Tu

Senior Member
May 29, 2022
162
272
Habari.

Nimeeandaa Cv vizuri na nina uzoefu wa kazi mzuri.

Mwezi uliopita na mwezi nimefanya interview tatu kiukweli sijabahatika Kupata kazi kote.

Moyo wangu uwa unaumia sana,mara zote nakosaga confidence nisipopata nafasi ya kazi,hata inaniondolea nguvu ya kuendelea kuomba ajira sehemu nyingine.

Naombeni mnipe ushauri ninakwama wapi wakuu.

Maana najua kuna wazoefu humu.

Mimi nilichogundua Tatizo ni Lugha(Nina misamiati michache ya kiingereza)
 
Omba sana mungu
 
Pole, kama ushajua tatizo anza kutatua. Siku utafanikiwa.
 
Habari.

Nimeeandaa Cv vizuri na nina uzoefu wa kazi mzuri.

Mwezi uliopita na mwezi nimefanya interview tatu kiukweli sijabahatika Kupata kazi kote.

Moyo wangu uwa unaumia sana,mara zote nakosaga confidence nisipopata nafasi ya kazi,hata inaniondolea nguvu ya kuendelea kuomba ajira sehemu nyingine.

Naombeni mnipe ushauri ninakwama wapi wakuu.

Maana najua kuna wazoefu humu.

Mimi nilichogundua Tatizo ni Lugha(Nina misamiati michache ya kiingereza)
Mkuu interview ngapi umefanya?? Kuna watu wamefanya zaidi ya 10 na bado hawana kazi
 
Habari.

Nimeeandaa Cv vizuri na nina uzoefu wa kazi mzuri.

Mwezi uliopita na mwezi nimefanya interview tatu kiukweli sijabahatika Kupata kazi kote.

Moyo wangu uwa unaumia sana,mara zote nakosaga confidence nisipopata nafasi ya kazi,hata inaniondolea nguvu ya kuendelea kuomba ajira sehemu nyingine.

Naombeni mnipe ushauri ninakwama wapi wakuu.

Maana najua kuna wazoefu humu.

Mimi nilichogundua Tatizo ni Lugha(Nina misamiati michache ya kiingereza)
usichoke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom