Naapa mbele ya Mungu, Yanga ikiifunga TP Mazembe Leo najiondoa rasmi JamiiForums

Mwishokambi

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
317
1,198
Mpira sio maneno wala kuhamasisha watu kwenye jogging kisha unachukua simu unampigia Mayele halafu anakuahidi mbele ya wajinga wajinga kuwa watashinda mchezo huo, Big No.

Mpira ni sayansi, hata kujazana vip uwanjani kama huna uwezo huna tu, kikosi cha Yanga chenye wazee kama Simba, wachezaji walioshindikana huko walikotoka hakiwezi kuifunga TP Mazembe hata tukalale makaburini mwaka mzima.

Na ninaahidi kwa namna nilivyowaona Mazembe na walivyo na mikakati, Yanga akishinda Leo najiondoa rasmi humu JF na sitoonekana tena.Kama hiyo haitoshi, nitawavulia kofia rasmi kuwa wao wameshindikana.

Tusidanganyane hapa.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Leo Ndio Mnayajua Hayo Kwamba Mpira Sio Maneno Baada Ya Kukandwa Jana , Mlivyokuwa Mnabwabwaja Na Kauli Zenu Za Kishujaa Eti “Kwa Mkapa Hatoki Mtu”, Maeee
 
Mpira sio maneno wala kuhamasisha watu kwenye jogging kisha unachukua simu unampigia Mayele halafu anakuahidi mbele ya wajinga wajinga kuwa watashinda mchezo huo, Big No.
Mpira ni sayansi, hata kujazana vip uwanjani kama huna uwezo huna tu, kikosi cha Yanga chenye wazee kama Simba, wachezaji walioshindikana huko walikotoka hakiwezi kuifunga TP Mazembe hata tukalale makaburini mwaka mzima.
Na ninaahidi kwa namna nilivyowaona Mazembe na walivyo na mikakati, Yanga akishinda Leo najiondoa rasmi humu JF na sitoonekana tena.Kama hiyo haitoshi, nitawavulia kofia rasmi kuwa wao wameshindikana.

Tusidanganyane hapa.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Sisi sio madunduka kama nyinyi mnakubali kupigwa Chuma tatu tena kwa Mkapa Mnaifuatilia Yanga kuliko mnavyoifuatilia timu yenu ambayo NI uozo Leo njoo kwa Mkapa uone Mazembe anavyopasuka kolo wewe
 
Msimalumu sana pengine bado ni kijana mdogo hajapata kushuhudia ukatiri wa mpira wa miguu ulivyo. Yes lolote linaweza kutokea ila kuniwekea vinadhiri kama hivi inaonyesha IMMATURITY.

Wacha mpira uchezwe Yanga akishinda utaachana na hii ID uje na nyingine akifungwa utakuja hapa kujipongeza na kujisifu ni mtu unayejua lakini kiuhalisia hakuna la maana uliloandika.
 
Back
Top Bottom