Naanza kuwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu

Una uhakika gan kuwa anaekumbukwa n Mungu.....

Every soul has got its own magical power.... Ko unavoiruhusu kufunguka ndivyo inavyofanya kazi.... Ikifanya kazi mnasema n Mungu....

Nasema hiviiiii Hakuna Mungu
Magical powers unaamini zipo, ila uwepo wa Mungu hauuamini, je chanzo cha hizo magical powers ni nini?

Inahitaji uwepo wa uwendawazimu Ili Mtu aweze kukuelewa
 
Prove an air existing physically or by visibility, if you can't do it still you believe its presence then you might have the psychopath disorders to disagree the living God's existence.
Unajua kiswahili mkuu? Maana pengine haujaelewa nilichoandika.
 
Ushahidi wa uwepo wa Mungu ni mwingi sana kama mtu akituliza akili na kutafakari vizuri. Just look around you utaona viumbe hai na visivyo hai...vimepangwa kwa ustadi mkubwa sana.

Ni akili ya juu sana ndiyo iliweza kufanya mambo haya ya ajabu...huyo si mwingine bali ni Mungu mwenyewe.

Why kuwepo mwanaume na mwanamke? Je ni kwa nasibu tu viumbe vikatokea vya kiume na kike?

Look at our body system....mfumo wa chakula, mfumo wa hewa, ubongo muscles n.k....utaona kabisa vitu kama hivi visingeweza kutokea kwa bahati tu..kuna nafsi yenye uwezo mkubwa sana ilifanya yote haya.

Imagine kama tungekuwa tunahisi kiu na maji hayapo...? Au kama tunahisi njaa na chakula hakuna...! why do we have hands? Ili itusaidie kushika na kubeba...kama tungekuwa tumetokea kwa chance tu...imewezekanaje tukawa viumbe tulioumbwa vizuri namna hii?

Nini kimefanya samaki aishi kwenye maji lakini asiweze kuishi nchi kavu? Je ni kwa evolution au ilipangwa iwe hivyo na Mungu?

Why only humans tuna intelligence ya juu sana kuliko viumbe wengine? Je hii ni kwa bahati tu? Hapana....yuko Mungu aliyefanya yote haya.

Mtu anayepinga uwepo wa Mungu hajatumia vyema akili aliyopewa na huyo huyo Mungu.

Ziko sababu za kwa nini dunia iwe kama ilivyo leo..ikiwa imevurugwa..only bad things happening everywhere. Hii inahitaji imani kwa Mungu kupitia maandiko. Humo ndimo kuna mpango wa Mungu kuifanya dunia upya.
Nimekuelewa vizuri sana.
 
Kila nikijaribu kutafakari juu ya uwepo wa huyu anayeitwa Mungu naona kama tunapigwa, watu wengi wamekuwa wakifuata mkumbo kuamini katika hizi Imani za kidini pasipo kutumia vizuri akili Yao kwa kuhoji, na kutafakari tukianzia juu ya uwepo wa Mungu, Mungu Yuko wapi? Mungu ninani? Mbinguni ni wapi?

Uthibitisho wa kuwa Mungu yupo ni upi? Viumbe wakifa wanaenda wapi? nani aliandika vitabu vya Dini? Kwanini kama Mungu ananguvu kubwa kuliko vyote ulimwenguni ameshindwa kujitetea Hadi watu waanze kupigana jihad? Kwanini Mungu ana ubaguzi wengine wanaishi vizuri wakiwa na afya lakini wengine wanateseka na magonjwa?

Kwanini Mungu ata waangamiza binadamu Kwa moto kama ni mwenye roho ya huruma? Mungu anashindwaje kumaliza magonjwa, na majanga mengine ya kidunia, je kama wazee wetu waliokuwa hawamjui huyu Mungu tuliyeletewa na wazungu na waarabu walivyokufa Sasahivi wako mbinguni au moyotoni? Na kama wako motoni je kosa lao nilipi maana hawakuwa na taarifa yoyote kumuhusu? Kwanini huyu Mungu anatetewa na wanadamu kuwa asikosolewe Wala kuhojiwa yeye hajitokezi hadharani, Mimi Niko dilemma nahisi Bado tupo gizani juu ya haya mafundisho ya Dini, hizi sadaka na michango inayotolewa Mungu ananufaika nayo kivipi?

Nikweli ndani ya hayo majengo wanayosema ni ya Mungu yaani misikiti na makanisa yupo kweli Mungu na kama yumo mbona watu wanakaa humo na kulawiti watoto na kuiba pasipo yeye kuchukua hatua yoyote?
Wakana Mung wote huwa wanafikiria kitoto sana.

Sasa wewe umashaka wako umejengeka katika kutokujua, yaani huna elimu juu ua Mola halafu una mashaka, hii inawezekana kwa Wakana Mungu.

Maana yake kutokuwa kujua kwako Mola ni nani ? Kunakufanya uwe na mashaka au kutokujua kwako yuko wapi ? Hili ni tatizo kubwa sana.

Ulitakiwa uulize wanao fahamu kwanza kabla ya kuwa na mashaka hayo.
 
Ukitaka kujua Mungu yupo au hayupo panda ngalawa baharini / ziwani halafu ukutane na siku yenye dhoruba kali halafu bahari/ziwa limechafuka ndio ukifanikiwa kutoka salama utakuja kutueleza kuwa Mungu yupo au hayupo!!
 
Swali la mtoa mada halina mantiki!

Leo hii tukimuuliza tofauti kati yake na kichaa ni ipi atasema kuwa yeye ana akili na kichaa hana akili.

Ila tukimwambia ana amini vipi kuwa ana akili ilihali hajawahi kuiona hiyo akili? Jibu atakuwa hana.
 
Yaani una hoji uwepo wa Mungu wakati wewe ni dhalili umetokana na tone dogo sana la Manii (shahawa) . Siku ziangalie shahawa zako ukizimwaga halafu jiulize inakuwaje mwanadamu anatokana na hili tone dogo mpk anazaliwa na kuwa mtu kamili.
 
Hujasoma biology ww
 
Kila nikijaribu kutafakari juu ya uwepo wa huyu anayeitwa Mungu naona kama tunapigwa, watu wengi wamekuwa wakifuata mkumbo kuamini katika hizi Imani za kidini pasipo kutumia vizuri akili Yao kwa kuhoji, na kutafakari tukianzia juu ya uwepo wa Mungu, Mungu Yuko wapi? Mungu ninani? Mbinguni ni wapi?

Uthibitisho wa kuwa Mungu yupo ni upi? Viumbe wakifa wanaenda wapi? nani aliandika vitabu vya Dini? Kwanini kama Mungu ananguvu kubwa kuliko vyote ulimwenguni ameshindwa kujitetea Hadi watu waanze kupigana jihad? Kwanini Mungu ana ubaguzi wengine wanaishi vizuri wakiwa na afya lakini wengine wanateseka na magonjwa?

Kwanini Mungu ata waangamiza binadamu Kwa moto kama ni mwenye roho ya huruma? Mungu anashindwaje kumaliza magonjwa, na majanga mengine ya kidunia, je kama wazee wetu waliokuwa hawamjui huyu Mungu tuliyeletewa na wazungu na waarabu walivyokufa Sasahivi wako mbinguni au moyotoni? Na kama wako motoni je kosa lao nilipi maana hawakuwa na taarifa yoyote kumuhusu? Kwanini huyu Mungu anatetewa na wanadamu kuwa asikosolewe Wala kuhojiwa yeye hajitokezi hadharani, Mimi Niko dilemma nahisi Bado tupo gizani juu ya haya mafundisho ya Dini, hizi sadaka na michango inayotolewa Mungu ananufaika nayo kivipi?

Nikweli ndani ya hayo majengo wanayosema ni ya Mungu yaani misikiti na makanisa yupo kweli Mungu na kama yumo mbona watu wanakaa humo na kulawiti watoto na kuiba pasipo yeye kuchukua hatua yoyote?
Zuia pumzi kwa dakika 30, jiulize hiyo pumzi alieiweka ni nani? alafu rudi tena hapa tuanze kujadili uzi wako Mkuu
 
Pole, lazima uwe na mashaka kwa haya mambo yanayofanya watu wengi waone maruerue kwa kupitia Dini na mafundisho ya vitisho pasipo kuleta ukweli wenyewe, Sasa naomba nikusaidie kwa mukwamo wako kwamba Mungu yupo na weka Imani yako kwake kwamba yupo ila kuhusu Dini ndo hapo zimeharibu na kutuweka mbali na Mungu mwenyewe anayetenda katika uhalisia kwa kujali maneno matupu na kuacha utendaji wa Mungu, mfano Dini nyingi zinamuomba Mungu wa Ibrahim lakini matendo ya Ibrahim mpaka akawa karibu na huyo Mungu hawafanyi na tunaona huyo Mungu wa Ibrahim alimtembelea na kutuma malaika zake wamtembelee Ibrahim mara kwa mara na kuzungumza naye Sasa kwanini Leo hakuna mtu ametembelewa na Mungu? Wala malaika zake? Hivyo ni kwamba hatufanyi kama Ibrahim na hatufanyi kama ipasavyo, Sisi tupo katika mwili na Mungu yupo katika roho na Ili tuwe na Mungu karibu inatupasa roho zetu au matendo ya kiroho ndiyo yanatuweka karibu na Mungu mfano hizo sehemu za ibada zilipaswa kuwa na madhabahu au sehemu yenye uwepo wa Mungu kwa vitendo na Mungu aseme na watu yaani wakimuita aitike tofauti na sasa Sasa kitu kinachochanganya watu wengi kitendo cha Mungu kukaa kimya ni kwamba watu hawapo karibu na Mungu na hawafanyi kanuni zake au formula zake za kiroho kama walivyorithi Mungu wa Ibrahim inatakiwa walithi Kila kitu kilichomuunganisha na Mungu tukiendeleze kama Ni madhabahu za uwepo wa Mungu basi ilitakiwa ziwepo, kama ni sadaka za kuteketezwa basi ilitakiwa zitolewe, kama ni kuchoma uvumba na kuita uwepo wa Mungu mpaka ushuke basi vifanyike tofauti na Sasa vyote havifanyiki ila Mungu yupo jitahidi umtafute wewe Mwenyewe.
MUNGU hajawahi kuja kumtembelea mwanadamu hapa duniani.

Musa aliomba amuone Mungu ana kwa ana ila akaambiwa kuwa hataweza kumtizama..akapewa mtihani mdogo tu autizame mlima ikiwa mlima utaweza kuhimili kusimama (kubaki kama ulivyo) basi atamuona . Matokeo yake mlima ulipukutika wote na Musa akazimia hapo hapo. Kuja kuzinduka tena akaomba msamaha mwenye na akasema hana shida tena ya kumuona Mungu .

Mungu anasema kaa chini utizame na utafakari juu ya ishara zake na vitu alivyoviumba ni nani anaviendesha hivi vitu?

Usiku kuwa mchana

Jua kutoka mashariki na kuzama magharibi daily.

Bahari na mawimbi yake na jinsi meli zinavyotembea juu ya maji.

Kulala na kuamka kwako

Kuona na kusikia kwako.

Ukuaji wako toka upo kwenye manii, unakuwa pande la damu, kicha pande la nyama, unakuwa mifupa na mifupa inavikwa nyama mpaka unazaliwa, ukiwa dhaifu huwezi kukaa wala kusimama, kisha anakupa nguvu ya kuanza kukaa ,kutambaa,kusimama, kukimbia, una baleghe , unakuja kupata na wewe uzao wako, kisha una zeeka na kurudi udhaifu huwezi tena kufanya jambo na mwisho kufa kwako....je kwenye mzunguko huu wote hupati mazingatio?
 
Ukitaka kujua Mungu yupo au hayupo panda ngalawa baharini / ziwani halafu ukutane na siku yenye dhoruba kali halafu bahari/ziwa limechafuka ndio ukifanikiwa kutoka salama utakuja kutueleza kuwa Mungu yupo au hayupo!!
Watu wanaotoa hoja za namna yako, mara nyingi hata Elimu yao ni ndogo
No offense, ni just statistics

Ujuzi mdogo wa kutunga hoja yenye ushawishi hakuna.

Kwenye mfano uliotoa, mimi kupona au kutopona hakuthibitishi uwepo wa Mungu unayeamini

Mfano nimepona? Then nini? Mungu Yupo?
Na wenzangu watakao kufa, Then nini?
Mungu hayupo kwao?

Na kwanini Mungu aniponye mimi na kuua wenzangu?

Mtu mwenye akili timamu kichwani, anajua kupona au kutopona kwenye ajari it's matter of chance...

Kuna mkristo au muislam safi anayekufa kwa cancer, na kuna atheist mda huu anapona ajari ya gari..

Surviving is just a game of chance...

Jifunze kujenga hoja persuasive, sio hizi arguments za kipumbavu zisizo na kichwa wala miguu..

Arguments nyingi za believers wa Jf ni aidha Teleological argument ( Ona jinsi mfumo wako wa fahamu unavyofanya kazi, ni nani aliyeuumba vile kama sio Mungu?)

Na Arguments from ignorant (Ona Jua linavyowaka na kuzima kila siku, nani ana control hio pattern, au unalala usiku na kuamuka asubuhi, huoni huu muujiza)

Teleological arguments ishakua debunked miaka 200 iliyopita hata kabla hatujazaliwa

Mkazie mwanao ajifunze vizuri Evolution ili asiwe kilaza kama wewe.

Argument from ignorant zinatokea pale unapojaribu kujibu swali ambalo huna maarifa nalo, kisha kuja na hitimisho lako

Mtu hata hajui ni mechanism gani kwenye mwili wake, inayofanya aamke asubuhi.

Anavyohisi kutokana na upumbavu wake, ni kuwa ubongo una shut down completely akilala.

Sema sishangai, 80% ya watanzania ni low minded
 
Katika kitu cha ajabu ninachokiona ni mtu (mwanaume/mwanamke) anajiita mpagani ila akiwa anafanya mapenzi na utamu umemkolea kweli kweli anaanza kulia huku anamtaja MUNGU....utaskia...ooooh GOD nakojoaaa!!! Au mwanamke utamsikia ...uwiiii MUNGU wangu ,tamuuuu!!

Hapk ndio utajua MUNGU kweli yupo ila nafsi zinaleta ujeuri na kiburi tu.
 
Back
Top Bottom