Na Nyie mmetambua hii hali? Sasa hivi ukiwa unasafari ya Dodoma HQ unapewa "Treatment" ya ki VIP tofauti na ukisema unasafari Dar au mikoani kwingine

Nani anakupa hiyo treatment unadai ni ya V.I.P ? Naona wakubwa wote wa serekali kila mara wapo mjini Dsm ... Hata leo kuna kikao cha halmshauri kuu ya chama hapa Dsm.
 
Muda unakwenda mbio sana,hapo zamani za kale Ukiwa unasafiri Dar unaonekana mtu mzigo na WA heshima tofauti kule walikuwa wanaita Mikoani.

Ila Kwa sasa kibao kimegeuka yaanj Dar Kwa Sasa ni Mkoani tuu kama Sumbawanga au Simiyu kiasi kwamba anaesafiri kwenda Dom HQ Huwa anakuwa treated with honour and VIP preferences hususani unapotumia usafiri wa Umma kama Mabasi.

Ikumbukwe safari za Dom Makao Makuu sio zile za kihuni wanazoita hakuna kulala kama huko Dar.Kwanza mtu anaesafiri usafiri wa hakuna kulala(yaani usiku kucha) anaonekana njaa Kali na hawezi pata heshima stahiki.

Polisi wa Mikoani wakiona Mabasi yanayoenda Dom Huwa hawayasumbui kama Mabasi ya Mikoani huko Kwa sababu wanajua asilimia kubwa humo Kuna maofisa wa Serikali 🤣🤣🤣🤣.

My Take
Mda unaenda mbio sana,Dar tuliyokuwa Tunaenda kushangaa mataa na magorofa saizi ni Mkoani tuu Kwa wachuuzi 😁😁😁😁.

Hata ukisafiri kwa meli? 🤣🤣🤣
 
Nani anakupa hiyo treatment unadai ni ya V.I.P ? Naona wakubwa wote wa serekali kila mara wapo mjini Dsm ... Hata leo kuna kikao cha halmshauri kuu ya chama hapa Dsm.
Jenerali Ulimwengu alisema makao makuu ya serikali ya Tanzania ni barabara ya Dar- Dodoma.
 
Muda unakwenda mbio sana,hapo zamani za kale Ukiwa unasafiri Dar unaonekana mtu mzigo na WA heshima tofauti kule walikuwa wanaita Mikoani.

Ila Kwa sasa kibao kimegeuka yaanj Dar Kwa Sasa ni Mkoani tuu kama Sumbawanga au Simiyu kiasi kwamba anaesafiri kwenda Dom HQ Huwa anakuwa treated with honour and VIP preferences hususani unapotumia usafiri wa Umma kama Mabasi.

Ikumbukwe safari za Dom Makao Makuu sio zile za kihuni wanazoita hakuna kulala kama huko Dar.Kwanza mtu anaesafiri usafiri wa hakuna kulala(yaani usiku kucha) anaonekana njaa Kali na hawezi pata heshima stahiki.

Polisi wa Mikoani wakiona Mabasi yanayoenda Dom Huwa hawayasumbui kama Mabasi ya Mikoani huko Kwa sababu wanajua asilimia kubwa humo Kuna maofisa wa Serikali .

My Take
Mda unaenda mbio sana,Dar tuliyokuwa Tunaenda kushangaa mataa na magorofa saizi ni Mkoani tuu Kwa wachuuzi .
Apa nikae kama mmbeya mbeya ivi
 
Back
Top Bottom