Na hawa nao jee ?

miner

Member
Dec 14, 2009
77
4
Tumesikia habari ya mama Salma Kikwete ya kusomewa taarifa za maendeleo ya Mikoa na Wilaya na itifaki zake na hawa Makamba, Chiligati, Mkuchika na Kidawa viongozi wa sekretariati ya CCM kulipwa mishahara na marupurupu mengine kutoka katika Hazina ya Taifa ikoje ?

Kama Makala analipwa na CCM iweje wenzake walipwe na dola inanikera nisaidieni pengine ipo sawa
 
Back
Top Bottom