KIGENE
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,552
- 813
Katika hospitali teule ya Mugana huko Nkenge kwa kina nshomile mzee mmoja alikuwa anatibiwa kisonono na sista wa kizungu wakati mzungu kashika mkasi wenye pamba anakamua samsing ya babu usaha kumbe mgonjwa kavutiwa na urembo wa yule mzungu ongeza na tekenyatekenya mkasi si kasamsing kakasimama kwa hasira mzungu akakapiga na mkasi nakumfokea mgonjwa wee vipi unataka kumfanya nani mi nakutibia we unasimamisha toka rudi ulikotoka kumbe we huumwi babu akajitetea kuwa kapitiwa na pepo mbaya bila mafanikio