The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,510
- 2,060
Kada wa chama cha mapinduzi amezidi kuzongwa na makada wenzie kuhusu uamuzi wake wa kumuunga mkono Mh Lowasa kabla hajatimkia CHADEMA.
Chanzo: Magazeti leo
Chanzo: Magazeti leo
Wewe kwenye chama chenu ni sawa na bushoke tu,hivyo hakuna wa kukusikilizaHayo mapandikizi yanapaswa kung'olewa haraka sana na kutupiwa kwenye dampo la Ufipa
Naona hata chai hujaipata maana unacho kiandika utadhani unakimbizwa na huyo simbaWaende ukawa haraka pamoja na nchimbi sioni sababu ya wao kubaki Ccm kwani walikosa been busara na Hekima kwa maslahi binafsi ya kumtetea fisadi hadhatani. Ni Wakati mzuri wakavuna walichopanda kwa miaka mingi kwa kumshabikia MTU badala ya chama.
Ccm ni ileilehapo ndipo atapoirejesha pride kwa serikali. maana kafanya ufisadi mkubwa kule pride.
hapo ndipo atapoirejesha pride kwa serikali. maana kafanya ufisadi mkubwa kule pride.
Kati ya watu waliowaaibisha wanawakae TZ ni Sophia Simba. Namchukiaga JK kwa sababu yake....................
hapo ndipo atapoirejesha pride kwa serikali. maana kafanya ufisadi mkubwa kule pride.
Kweli ccm ni ile ile na makali yake ni yale yale kwani imewagaragaza tangu 1995 hadi 2015 na bado mtaendelea kuisoma namba. Hakuna namna.Ccm ni ileile
Kama uongozi wenyewe ndio huu wa kuwakimbia wadhungu endeleeni tu kuongozaKweli ccm ni ile ile na makali yake ni yale yale kwani imewagaragaza tangu 1995 hadi 2015 na bado mtaendelea kuisoma namba. Hakuna namna.
INAWEZEKANA MTU AKAFA KISIASA!Hivi neno mzimu linatumikaje, kwa uelewa wangu mzimu ni wa MTU alokufa, sasa km MTU yupo hai mzimu wake utakuandama vipi
member wengi wa ccm humu jf ni watu wa "kukurupuka" kama rais wao Magufuli.Wewe inaonekana hufuatilii siasa za Tanzania...Kumbuka msemo 'NO RESEARCH NO COMMENT'. Anayezungumziwa hapa ni Sophia Simba na wala si Iddi Simba.
Kingereza chenyewe cha "aiemu politishani aiemu veri machi wedsi" kwa nini asiwakimbie? si unaona hata mikutano ya kimataifa haendi...Kama uongozi wenyewe ndio huu wa kuwakimbia wadhungu endeleeni tu kuongozaView attachment 322122
hapo ndipo atapoirejesha pride kwa serikali. maana kafanya ufisadi mkubwa kule pride.