Mzigo kwanza document baadaye.

Mzee wa fund

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
514
89
Katika mahusiano ya kimapenzi,je nivyema kuanza na mahusiano ya kingono kisha baadaye mipango ya kufunga ndoa.Au mipango kwanza kisha tendo baadaye?.Nawasilisha.
 
mhm...sasa mwanawane hapo pagumu. usipo onja unaweza uziwa mbuzi kwenye gunia. magoma ya siku hizi full uchehce sasa unawezakuta kashatoa mimba kibao ay K mileage kubwa. kwa kuwa watu siku hizi wanamegana sana mie naona ni bora nawe utest kitu kabla ya kutia ndani
 
Kwa kutest utajuaje alisha abort au keshatembea mileage nyingi?

Kwa kutest utajuaje alisha abort au keshatembea mileage nyingi?

ah sii wasema ebu nijaribishe mimba kama itaingia. sii ndivyo vijana wa siku hizi wanavyofanya kabla ya kutangaza ndoa. mielage bwana hapo pagumu ila its safe to assume kuwa kwa dunia hii demu angalau kashamegwa na mijamaa mitatu
 
mmmh.. document inaweza ikaandikwa kichina,ukatafuta mkalimani akakutafsiria ukaelewa whether uendelee kuchukua mzigo au la....ila ukiamua kukurupuka kuchukua mzigo bila kusoma hata document..utakuja kukutana na mzigo fake,au ulishaharibika...ikitokea umepata mzigo uliokua salama then heri.. Nashauri document kwanza then mzigo.
 
Ndg naona kama unaimani yako ungeifuata hy cdhani km kunaimani inaruhusu mchezo huo.Lkn km mpagani za wengine changanya na za kwako!.
 
Kwa mpango huo mtafunua na kuacha kila siku

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Weweeee! Lazima utest unaweza kwenda maeneo ya wenyewe, kitu xxxxxxl mpaka gololi zinazama, hapana chezea!!!! Hii inawatokea wale wasiojua mambo yetu ya chinese kitu ya kurudisha!Kama kigoli vile! Lazima ujiridhishe kwanza ndo ujifunge jumla jumla!
 
ah sii wasema ebu nijaribishe mimba kama itaingia. sii ndivyo vijana wa siku hizi wanavyofanya kabla ya kutangaza ndoa. mielage bwana hapo pagumu ila its safe to assume kuwa kwa dunia hii demu angalau kashamegwa na mijamaa mitatu

Makadirio yako ni ya chini mno...wengi wameshajaza ukurasa wapo next page...
 
Mzigo Kwanza,
Ukijiaminisha kuchukua documents waweza kuta unauziwa mlio ukaambiwa ni mbuzi.
 
mhm...sasa mwanawane hapo pagumu. usipo onja unaweza uziwa mbuzi kwenye gunia. magoma ya siku hizi full uchehce sasa unawezakuta kashatoa mimba kibao ay K mileage kubwa. kwa kuwa watu siku hizi wanamegana sana mie naona ni bora nawe utest kitu kabla ya kutia ndani

mwazo finyu na ya kitoto kabisa!!!
 
Makadirio yako ni ya chini mno...wengi wameshajaza ukurasa wapo next page...

ebo!!! yaani wadada wanakuwa wamemegwa zaid ya hiyo average ya 3...kweli hili ni balaaaaaaa. kumbe wanaupenda utamuuuuu
 
me naona usitest we jiridhishe2 na uvumilie utakachokutana nacho! halaf mbo cc wanaume ni selfish! mbona cc ha2fanyiwi test? we umejuaje K' kubwa au ndogo kama hujapitapita xana?
 
Back
Top Bottom