Mzee wa Upako Lusekelo: Subirini 2024 Muone Songombingo, wapo watakaosema Samia asigombee

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Yule mchungaji maarufu pale mitaa ya river side, Mzee wa upako. Askofu Antony Lusekelo ametoa yake ya moyoni juu ya hali ya ccm.

Nimewawekea video clip yake muisikilize na kama mtaamua kuchukua hatua basi anzeni sasa kuinusuru ccm .
 
Hahah...kwa hiyo Mzee wa Upako nia yake ni Edward tu angekuwa Rais...
 
Ungeweka yote hii nusu inapoteza uhalisia tunashidwa kufanya proper judgement
 
Proper judgement? Message ya clip imejaa full kabisa
Sasa hayo si maoni yake..What was the subject matter??il na sie tulinganishe maoni yetu na ya kwake..
Kwasababu gan anasema watu wtasema Sa100 agombee/asigombee 2024?
 
Sasa hayo si maoni yake..What was the subject matter??il na sie tulinganishe maoni yetu na ya kwake..
Kwasababu gan anasema watu wtasema Sa100 agombee/asigombee 2024?

Hapo unatafuta uhalali wa anachokisema; lengo lake sio kupata support ya anachosema; Ni kuleta maoni yake; Kama humwamini Ni sawa!
 
Back
Top Bottom