Mzee wa Upako: Biblia imekataza Mkristo kuombewa na Mtu wa Dini nyingine lakini Yesu angekuwepo leo angeruhusu kwa mshikamano wa kitaifa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,114
Mchungaji Lusekelo amesema haelewi Chanzo cha mvurugano wa Shehe wa Mkoa alhad Salum na Dr Mwaka ambaye ni mganga.

Lusekelo amesema kimsingi Biblia imekataza Mkristo kuombewa na Mtu wa Dini nyingine lakini Yesu angekuwepo leo angeruhusu kwa sababu ya mshikamano na maslahi mapana ya taifa.

Hata mimi naombea waislamu na wao wananiombea pia na hata hayati Magufuli tulimuombea Watu wa Dini zote amesisitiza mzee wa Upako.
 
Mchungaji Lusekelo amesema haelewi Chanzo cha mvurugano wa Shehe wa Mkoa alhad Salum na Dr Mwaka ambaye ni mganga

Lusekelo amesema kimsingi Biblia imekataza Mkristo kuombewa na Mtu wa Dini nyingine lakini Yesu angekuwepo leo angeruhusu kwa sababu ya mshikamano na maslahi mapana ya taifa

Hata mimi naombea waislamu na wao wananiombea pia na hata hayati Magufuli tulimuombea Watu wa Dini zote amesisitiza mzee wa Upako
Hata RAIS wa DAR Makonda nae aliombewa
1468265145.jpg
 
Attachments

  • 1662300741270.jpg
    1662300741270.jpg
    48.1 KB · Views: 5
Mchungaji Lusekelo amesema haelewi Chanzo cha mvurugano wa Shehe wa Mkoa alhad Salum na Dr Mwaka ambaye ni mganga.

Lusekelo amesema kimsingi Biblia imekataza Mkristo kuombewa na Mtu wa Dini nyingine lakini Yesu angekuwepo leo angeruhusu kwa sababu ya mshikamano na maslahi mapana ya taifa.

Hata mimi naombea waislamu na wao wananiombea pia na hata hayati Magufuli tulimuombea Watu wa Dini zote amesisitiza mzee wa Upako.
Magufuli mlimuombea kuhusu Nini!!
 
Back
Top Bottom