ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,650
jamani nimemkumbuka huyu mzee alipokuja Mahenge, 1992, kwa 'hello' na kuwachimba mkwara waaisa walokuwa wanachimba rubby kule na kupaa hewani ndani ya hello yake.
jamaa ameifanyia mengi nchii hii. tumuombee badala ya kutumia picha zake kama maonyesho. Tutoe suluhisho la nini kifanyike afya yake itengamae
jamaa ameifanyia mengi nchii hii. tumuombee badala ya kutumia picha zake kama maonyesho. Tutoe suluhisho la nini kifanyike afya yake itengamae