Mzee mzima akifanya vitu vyake

mluga

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
676
215
Mambo hayo kazi na furaha
 

Attachments

  • Zuma.jpg
    Zuma.jpg
    20.1 KB · Views: 965
Kazi kweli kweli!!!!!
Hii inanikumbusha wimbo wa SIKINDE NGOMA YA UKAE ""DUNIA KUNA MAMBO""
 
Ila kwa huyu jamaa hata akicheza ivo sawa tu maana hata nchi yake huwezi fananisha na yetu ila mkwere anakuchezea kiduku na umeme hakuna.si balaa hiyo?
 
Kweli a light moment after hard work ukiwa hauna mastress ya Ricmond, Epa, Dowans, Umeme wa Mgao
 
hapo zuma was dancing to his famous style umsholozi! hapo si kainama akiinuka anarusha mguu juu ile style ya kizulu hahaa jamaa ananikosha sana. ila sauzi nao wameingia mkenge km sisi tu hapa bongo jamaa toka aingie madarakani huko sauzi ni migomo kwa kwenda mbele. hawatofautiani na jk wote ni wasanii
 
Back
Top Bottom