Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,056
Hakuna mtu fisadi Tanzania kama huyo Ali Hassan Mwinyi , ni mnafiki nambari moja na ana maneno mazuri sana anapozungumza lakini ndani ya moyo wake amejaa uwovu
Kwa haya umesema ukweli. Umesahau kusema ni mdini wa ajabu ambaye kwa kujificha unaweza kudhani siye.