Mzee Mhina hatuko naye tena

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,063
Mzee Mhina , Mwenyekiti wa wazazi Taifa (CCM) amefariki.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi,Amin.
 
Apumzishwe mahali pema

Mahali pema ni pa watakatifu pekee! ukiwa ccm umejitenga na utakatifu, mzee wetu apumzike kwa amani na mungu ampe stahiki yake sawa sawa na mapenzi yake, namaanisha mapenzi ya mungu
 
kheee huyu alimpiga fitna sana mkono ashindwe kuchukua kiti hiki...haya uchaguzi huoooo ndani ya jumuiya hii ya ccm...pumzika mzee wangu
 
Back
Top Bottom