Mzee Mengi auliza Swali...

regmengi
Chenji ya rada imetolewa! Hakuna yeyote aliyechukuliwa hatua! Eti hakuna ushahidi. Je vita dhidi ya rushwa ni usanii ama...?

chanzo tweeter

Huyo Mzee ni Msanii tu na wala hajulikani yupo upande gani,
maana atajifanya yupo upande wa wanyonge na mwisho wa siku anaisupport CCM kwa nguvu zote (ITV na Kampeni za Arumeru)
 
Huyo Mzee ni Msanii tu na wala hajulikani yupo upande gani,
maana atajifanya yupo upande wa wanyonge na mwisho wa siku anaisupport CCM kwa nguvu zote (ITV na Kampeni za Arumeru)

Amekuuliza swali,unachotakiwa ni kujibu kama yes/no
 
Mengi ni kada maarufu sana wa chama cha magamba, akawaulize viongozi wake wa juu wa chama watamsaidia majibu. Ila asisahau pia kwamba ufisadi ni kati ya sera muhimu za chama chake.
 
Akamuulize rafiki yake JK na atapata majibu maana JK anawajua wote waliochukua hizo hela na hata waliorudisha hela za EPA na akawasamehe bila kuwafungulia mashitaka.
 
Back
Top Bottom