Mzee Makamba aliwaza nini kusema ''Watu wazuri hawafi''?

Pantosha

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
349
462
Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya?

Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
 
Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya? Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
Wazuri hawafi inamaanisha watu wema wanaacha legacy ambazo hata wakifa zinakumbukwa kwa muda mrefu...

Chukulia mfano mtaani kwenu kuna shida ya maji, aje mtu ajenge kisima kikubwa kihudumie mtaa mzima, huyo mtu hata Akifa legacy yake inabaki.
 
1710109945004.jpg
 
🆒👍👌👏🤝🙏🔊💐🎁🗼
 
Katika Philosophy MTU mzuri huwa hafariki

Mfano tazama katika familia yako utapata jibu

Pia tazama kuhusu Mandela na Nyerere.

Mzee Mkamba he was right to speak that ila watu wameshindwa kuelewa hili jambo.

Binadamu mzuri mwenye utu huwa anaondoka katika mwili wa nyama Ila yeye anaendelea kuishi.
 
Katika Philosophy MTU mzuri huwa hafariki

Mfano tazama katika familia yako utapata jibu

Pia tazama kuhusu Mandela na Nyerere.

Mzee Mkamba he was right to speak that ila watu wameshindwa kuelewa hili jambo .

Binadamu mzuri mwenye utu huwa anaondoka katika mwili wa nyama Ila yeye anaendelea kuishi.
Hiyo ni sawa ila pia inategemeana na nani anasema na alikuwa anasema katika mazingira yepi. Kama mtu anamchumia marehemu alafu akasema maneno hayo, hiyo maana uliyoisema inakuwa haina mashiko.
 
Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya? Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
Tusubiri akiwa mbaya
 
Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini

screenshot_20230514-154115-2-jpg.2623924

na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya?
_111117533_ikulu2.jpg
Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima
iu
na hewa safi tunayopumua kila siku?
Wakikaribishwa Ikulu wa Ulimwengu mpya
iu

Kila mtu ana siku yake.

The only two Guarantees in Life as we know it.

Utazaliwa na Utakufa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom