Mzee Butiku: Wanasiasa wanaopuuza Katiba mpya kabla ya 2025, hawana utu 🙏

Utashi na utari ukiwepo katiba mpya ni mwezi tu inakamilishwa kwa kuwa kazi ilishafanyika na hela nyingi kutumika wakati wa RASIMU YA WARIOBA. KAMA RAIS NA WATANZANIA TUNAIPENDA TANZANIA NA KAMA SI KWA MANENO TU AU KEJELI BASI KATIBA IKAMILISHWE. HUU NI WAKATI WA UKWELI NA UWAZI NA HAKI. SIO KUHADAA , UDANGANYIFU NA WIZI. NAPENDA SIKU IFIKE ANAYESHINDA NA ANAYESHINDWA ANATHIBITISHA KUSHINDA AU KUSHINDWA NA HATIMAYE KUPONGEZANA NA KUTAKIANA HERI. SIO KAMA ILIVYO SASA SI AFYA HATA KIDOGO. TANZANIA ILIPASA KUWA MWALIMU WA AFRICA NA DUNIA. ETI TUNAENDA KUJIFUNZA KENYA NA SOUTH AFRICA USTAARABU! TUZIDI KUPAZA SAUTI MPAKA KIELEWEKE TANZANIA IRUDI MAHALI PAKE. Eti mtanzania anapigwa risasi, anatekwa na wasiojulikana, anapotezwa, uchafu wa ufisadi KISA NI KATIBA ILIYOPO INAWAKINGA WAHALIFU.
 
Kwa KAZI iliyokwisha fanyika before,

Miezi chini ya SITA inatosha kabisa kukamilisha Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya.

Si vyema kuiendea uchaguzi wa 2025 kama vile hatukuyaona yaliyojiri 2020.!!
 
Mkuu hamna hiyo. Ni sawa na mlevi wa pombe kusema ameacha pombe wakati Hana kipato.
Umesahau kuwa jambazi akiacha ujambazi na kushirikiana na police, uhalifu ndo bye bye?
 
Salaam, Shalom,

Mmoja kati ya wazee wazalendo waliobaki nchini, Mzee Joseph Butiku, ameendelea kuwaasa wanasiasa wote Wanaopuuza umuhimu wa KATIBA mpya kuacha ubinafsi na kuthamini UTU.

Ikumbukwe pia, mwezi Octoba, aliyekuwa Waziri mkuu Awamu ya Pili, Mzee Joseph WARIOBA alipokuwa katika mahojiano katika kipindi Cha DAKIKA 45, ITV, Alipendekeza pia kuwa, ni vizuri Katiba mpya ikapatikana kabla ya Uchaguzi 2025. Na muda uliopo unatosha ikiwa tutaanza ilipoishia Tume aliyoisimamia kabla.

Wanasiasa wanatakiwa kuthibitisha kuwa Wana UTU na kuhakikisha wanatoa ushirikiano kuhakikisha tunapata Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote.

Wazee ni hazina, Tuwatumie.

Na hiyo ni message Kwa kijana wa chama kuwa kamwe wazee hawawezi kunyamaza na kuacha Kutoa maoni kulisaidia Taifa Kwa kisingizio Cha "KUSTAAFU".

Source: The Chanzo tv

Karibuni🙏
Ni majizi tu utayasikia katiba ni kijitabu tu
 
Tatizo vijana wa hovyo wapo CCM, CHADEMA, ACT, nk. Hawaoni katiba mpya haiji pasipo na kupiganiwa.
 
Salaam, Shalom,

Mmoja kati ya wazee wazalendo waliobaki nchini, Mzee Joseph Butiku, ameendelea kuwaasa wanasiasa wote Wanaopuuza umuhimu wa KATIBA mpya kuacha ubinafsi na kuthamini UTU.

Ikumbukwe pia, mwezi Octoba, aliyekuwa Waziri mkuu Awamu ya Pili, Mzee Joseph WARIOBA alipokuwa katika mahojiano katika kipindi Cha DAKIKA 45, ITV, Alipendekeza pia kuwa, ni vizuri Katiba mpya ikapatikana kabla ya Uchaguzi 2025. Na muda uliopo unatosha ikiwa tutaanza ilipoishia Tume aliyoisimamia kabla.

Wanasiasa wanatakiwa kuthibitisha kuwa Wana UTU na kuhakikisha wanatoa ushirikiano kuhakikisha tunapata Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote.

Wazee ni hazina, Tuwatumie.

Na hiyo ni message Kwa kijana wa chama kuwa kamwe wazee hawawezi kunyamaza na kuacha Kutoa maoni kulisaidia Taifa Kwa kisingizio Cha "KUSTAAFU".

Source: The Chanzo tv

Karibuni🙏
Wale ambao ni conservatives wanaolinda wakubwa wakitaka mambo yabaki hivihivi watashughulikiwa kimya kimya! Kimya kimya
 
Salaam, Shalom,

Mmoja kati ya wazee wazalendo waliobaki nchini, Mzee Joseph Butiku, ameendelea kuwaasa wanasiasa wote Wanaopuuza umuhimu wa KATIBA mpya kuacha ubinafsi na kuthamini UTU.

Ikumbukwe pia, mwezi Octoba, aliyekuwa Waziri mkuu Awamu ya Pili, Mzee Joseph WARIOBA alipokuwa katika mahojiano katika kipindi Cha DAKIKA 45, ITV, Alipendekeza pia kuwa, ni vizuri Katiba mpya ikapatikana kabla ya Uchaguzi 2025. Na muda uliopo unatosha ikiwa tutaanza ilipoishia Tume aliyoisimamia kabla.

Wanasiasa wanatakiwa kuthibitisha kuwa Wana UTU na kuhakikisha wanatoa ushirikiano kuhakikisha tunapata Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote.

Wazee ni hazina, Tuwatumie.

Na hiyo ni message Kwa kijana wa chama kuwa kamwe wazee hawawezi kunyamaza na kuacha Kutoa maoni kulisaidia Taifa Kwa kisingizio Cha "KUSTAAFU".

Source: The Chanzo tv

Karibuni
Hawa wote walikuwa na nyadhifa mbalimbali serikalini kama vile ukuu wa mikoa, waziri mkuu n.k. waeleze walicholifanyia hili taifa wakati wa nyadhifa zao. Wamwache mama achape kazi, Kazi iendelee

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Salaam, Shalom,

Mmoja kati ya wazee wazalendo waliobaki nchini, Mzee Joseph Butiku, ameendelea kuwaasa wanasiasa wote Wanaopuuza umuhimu wa KATIBA mpya kuacha ubinafsi na kuthamini UTU.

Ikumbukwe pia, mwezi Octoba, aliyekuwa Waziri mkuu Awamu ya Pili, Mzee Joseph WARIOBA alipokuwa katika mahojiano katika kipindi Cha DAKIKA 45, ITV, Alipendekeza pia kuwa, ni vizuri Katiba mpya ikapatikana kabla ya Uchaguzi 2025. Na muda uliopo unatosha ikiwa tutaanza ilipoishia Tume aliyoisimamia kabla.

Wanasiasa wanatakiwa kuthibitisha kuwa Wana UTU na kuhakikisha wanatoa ushirikiano kuhakikisha tunapata Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote.

Wazee ni hazina, Tuwatumie.

Na hiyo ni message Kwa kijana wa chama kuwa kamwe wazee hawawezi kunyamaza na kuacha Kutoa maoni kulisaidia Taifa Kwa kisingizio Cha "KUSTAAFU".

Source: The Chanzo tv

Karibuni🙏
Kwa wizi wa mali ya umma unaoendelea hivi sasa ni vema katiba mpya ije
 
Hv kwann katiba iombwe na kupewa umuhimu kipindi Cha uchaguzi?
Mh Samia akiwa na miezi kadhaa tu madarakani, Mbowe alianza mapema kabisa kudai Katiba mpya,

Na matokeo ya harakati hizo kajikuta JELA miezi 8 Kwa case ya mchongo,

So kusema Katiba mpya inadaiwa ukikaribia uchaguzi, HOJA Yako inakosa mashiko.
 
Back
Top Bottom