First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,310
- 1,473
Hi great thinkers!
Nawatakieni siku njema na mapunziko Mema ya nanenane!
Stay cool!
Nawatakieni siku njema na mapunziko Mema ya nanenane!
Stay cool!
Asante na wewe pia. Na niko very cool manake hapa nalala mpaka saa sita then naenda kwaya what a cool day.
Mhhhh! Umelala ilhali unachati? Duhh kweli kuna walevi wa jf, silk mwenyewe!
Ntakuwa nimejisahau koz nshakunywa thupu na chapati!"..... to you all " kumbe namie nimo!
I was delayed to glance "all " maanake now dayz Jf greetings za spesholaizesheni to particulars members zinahusika sana !
Mi ako poa tu mukubwa karibu Swaumu !