My wallet

Kifai

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
816
172
Jamani cjui wallet yangu ina matatizo gani? Kila nikichomoa elfu kumi chenji haikai hata nusu saa, au izi wallet cku izi zina virus jamani?
 
mimi ninayo antivirus ya kuzuia kirusi cha upotevu wa fedha! dakika kumi tu pesa yako haipotei potei tena!
 
Back
Top Bottom