My secret nicknames to some JF members

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Wandugu, Hamjambo,

Leo naomba nimwage hapa hadharani siri yangu moja niliyoificha siku nyingi kuhusu wana JF mbalimbali.
Siri hii ni majina ya mkato (nicknames) niliyowapa baadhi ya wanaJF kwa sababu ya taswira waliyoichora katika michango yao ya threads ama comments.

Kwa hiyo nianze kwa kuomba radhi kwa wale ambao watajisikia vibaya kwa kupewa majina.Katika kuomba radhi ningependa kuwakumbusha kwamba duniani kote watu hupewa majina ya mkato kwa sababu ya tabia zao,mawazo yao etc. Ndio maana kwa mfano hapa tanzania kuna mtu anayejulikana kwa jina la 'mzee ruksa', pia kuna 'les mutuz' nk.

Naanza.Mpangilio ni id ya mtu kisha inafuata nickname kisha sababu ya hiyo nickname nilompa.
miss chagga - 'kipenzi cha wanaume wa JF'.Huyu dada ana aina ya mvuto fulani katika michango yake hapa JF.
Ipo thread kwenye jukwaa la congrats complaints and advice inayomsifia kwa michango yake. Imagination yangu ni kwamba inbox ya huyu dada ina mafuriko (nakiri hata mimi nilishatupia huko vi-pm viwili vitatu.)

Freeland
kafunga bao la ushindi kwenye hii ligi ya inbox! (Nimesahau: Kuna mdau alikuja na id ya: I love miss chagga

mshana jr
- 'Mzee wa ma-photo'. Ukienda jukwaa la Jamii Photos, humkosi huyu mdau na thread mbili tatu za picha.
Kwa kila siku humkosi huyu mdau kwenye jukwaa hilo.

Tyta
- 'Mtaalamu wa google' Huyu mdau alinishangaza sana huko nyuma. Ukimwomba akuletee picha yoyote, atakuwekea
(Sorry, umeme umekatika na sina ups, nitaendeleza hii kitu baadae)
 
Duuuuuu SHIEKA na umefanya research ya nguvu na ya ukweli,ila umesahau kuwa Jf nzima mwenye ID ni kijana Idd ninga
sijui anajiamini vipi huyu Idd Ninga
 
Last edited by a moderator:
mshana jr, hali ni mbaya. unarudi unakatika, unarudi unakatika hivo hivo.
Nilikuwa naanza kumweka FaizaFoxy kwenye ramani ghafla umeme ukakatika
tena. Sijui mpaka lini sasa. Anyway, tuvute subira.

Uwiiii huyo tena...! Wallah hata network itakata, subiri uone
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom