my birthday,thank u all

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
Wakuu,nikiwa natimiza miaka kadhaa siku ya leo,nina furaha kubwa maishani mwangu.Pamoja na malezi ya watu wangu wa karibu,Watu wote wa Jf,wake kwa waume mmeyabadilisha maisha yangu.Ni mizigo mingi nimetua hapa na kupata ufumbuzi.Ni masahibu mengi nimepata lakini hapa limekuwa jokovu la faraja.Nawashukuru nyote na ninawapenda sana.Mungu awabariki nyoote na kuwajalia kila hitaji muwekalo mbele yake.Ujumbe wangu kwenu ni kuwa:MUNGU ATABAKI KUWA MUNGU.
 
Mkuu Mayenga hongera saana kwa kutimiza hio miaka kadhaa na mimi napokea
shukrani zako kwa sie ambao ni your fellow members.....
Mwenyezi Mungu akujalie, akubariki na kukupa
maisha marefu yalo bora and fulfilled.
Kila la kheri on this speacial Day....

:A S 465:....HAPPY BIRTHDAY....:A S 465:
 
Hongera kwa kusherehekea kumbukumbu ya siku yako ya kuzaliwa,mshukuru Mungu kwa kila siku ipitayo kwako.
Mungu akubariki, akuongezee mafanikio,apunguze shida zako na uwe na amani leo,kesho na siku zote za maisha yako.
 
Before the clock strikes twelve let me take the opportunity to let you know that you have grown a year more...
Happy birthday Mayenga...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom