Mwizi wa mayai ya mbuni akiona cha mtema kuni!

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Mar 25, 2016
10,521
13,110
1472206287432.jpg
 
Aombe Mungu asidonyolewe kichwani maana kichwa chenyewe kilivyo kidogo hashindwi kukimeza.
 
Ni mkubwa lakini hafikii tembo, ila ng'ombe ni sawa kabisa, niliwaona kenya live, ana shingo ndefu sawa na urefu wa binadamu, ana vidole viwili kila mguu lakini ana kucha kubwa nyuma ya mguu wake karibu na unyayo.

harafu nasikia spidi yake ya kukimbia inaweza kufanana na benz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom