Ah niliiona muda sana kumbe bado ilikua inaendeleahuyo Tyrion, the master mind.
🤣🤣🤣Pole sana Kwa maumivu....hata Mimi niliumiga kama wewe alivyokufa Jack wa Titanicno joannah , ending like that can surely cause trauma.
the fight was real , she freed slaves, promised to build the better world only to come and die like that 🥺
inshort the ending imenipa worst feeling kama Ile niloipataga kipindi first love of mine aliponipigaga chini,GOT Walilazimisha Tu Kumaliza Show Ila Ilikuwa Bado Ina Mambo Mengi Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
better late than never , let me go through it right awayKabla ya kutazam hiyo series ungeanza kusoma huu uzi
My review of a song of Ice and Fire: Game of Thrones series
Kuna wakati unaweza kusoma kitu ukabaki unajiuliza mambo mengi sana juu ya mwandishi wa kitu hicho. Aliwaza nini,alipata wapi hii stori,ana akili yenye uwezo gani hadi kuandika kitu hiki. Basi ndio maswali mengi ambayo hua najiuliza juu ya huyu George Raymond Martin kutokana na uandishi wake wa...www.jamiiforums.com
Da'Vinci very well written piece of information right there, I watched the whole series without subs , nilijifungia ndani week nzima , I didn't need food or even a mosquito noiseKabla ya kutazam hiyo series ungeanza kusoma huu uzi