Mwimbaji wa nyimbo za injili Debora John Said afariki dunia

"kuishi ni Kristo na kufa ni faida."

Pumziko la Milele uwape ee Bwana, Na mwanga wa Milele uwaangazie, marehemu wote wapumzike kwa amani...
Amina
 
Poleni sna wafiwa.kwa ushauri mngempeleka kwa mzee wa ufufuo Gwajima amfufue.bt sory km nimewakwaza.

Ndugu usilete utani kwenye majonzi. Msiba ungekuwa unakuhusu sijui kama ungependa huo utani
 
Mijitu kama flora mbasha mizinzi mpaka inaharibu wachungaji ndio inabaki iendelee kutuimbia injili za kinafiki
 
Safari njema debora japo wote tuko pamoja upumzke salama na mungu ailaze roho ya marehemu mahli pema peponi amen.
 
debora.jpg

Wakati wa uhai wake

Wimbi la masikitiko limeikumba kundi la waimbaji muziki wa Injili nchini baada ya mwenzao Deborah John Said kufariki mchana huu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili , inasemekana mwezi uliopita Muimbaji huyo alifanyiwa upasuaji wa kuondoka uvimbe katika hospital ya Mwananyamala jijini Dar es salaam. Apumzike mahari pema peponi Amina
 
one bright morning when my work is over I will fly away to Zion. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
 
Back
Top Bottom