Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,873
ALIYEMTISHIA NAPE KWA BASTOLA NI ASKARI - MWIGULU.
Waziri wa zamani wa mambo ya ndani aliyefurushwa, Bw.Mwigulu Nchemba amesema hajawahi kusema kuwa mtu aliyemtishia Nape Nnauye kwa basola sio askari. Mwigulu amedai alinukuliwa vibaya na vyombo vya habari, na kudai kwamba alichosema yeye ni kuwa mtu huyo si polisi.
_
"Sikuwahi kusema sio askari, nilisema sio polisi, nilimwelekeza IGP kuchukua hatua aliniambia yule jamaa sio polisi. Inawezekana ni askari wa idara zingine lakini si polisi. Kuhusu kuchukuliwa hatua kuna taratibu. Sio kila hatua inatangazwa kwenye vyombo vya habari"
Rejea: Mwigulu Nchemba: Aliyemtisha Nape kwa bastola sio Polisi. Uchunguzi wa Lissu kushambuliwa unaendelea, tutatoa taarifa - JamiiForums