Mwigulu ni Petro wa Pasaka hii kwa kumsingizia mama kuidhinisha malipo ya ovyo serikalini. Zawadi ya Pasaka kwa watanzania ni mama kumtumbua leo hii.

TRAT

Member
Nov 29, 2022
41
117
Mama umesingiziwa hata alipobanwa na spika bado alishindwa kukana kuhusika kwako kuidhinisha malipo serikalini. Katiba ipo wazi wewe siyo muidhinishaki wa mapato serikalini. Kama unakumbatia kuidhinisha upigaji huu basi unakiuka hata Katiba. Wape mbuzi wa Pasaka yatima wetu lakini kwa watanzania zawadi pekee ya Pasaka ni kutuondolea mtu huyu leo. Aende akasimamie timu yake ya SBS na mabasi yake.
 
Tumbo kubwa lile kama puto la china anaongea nini la maana

USSR
 
Mwigulu akitumbuliwa kaonewa, kwenye tozo tulimlalamikia Rais akatuona wajinga, lakini sio kwa hili, Mwigulu amesema ukweli kabisa.
 
Sasa who is who...source ni nani ...?..Mwigulu au mama yenu 😳😳😳.."Stupid"
 
Mwingulu: Mama ndio katoa hela
Mama: hela hii nduchu ndio unani snitch?
Mwingulu: 2025 naitaka wewe rudi ukale urojo
Mama: mwenzio nimempeleka Cuba wewe North Korea itakufaa🤣
 
Mwigulu hana kosa lolote isipokuwa waliofuja pesa ndiyo wana nguvu kubwa kuliko serikali.

Mwigulu alikuwa anatafuta namna ya kuepusha shari kwa hao wenye nguvu kutokuongelewa sana bungeni.

Maana hao wenye nguvu wakikasirika hakuna hata mmoja atakayepona huko serikalini
 
Mama umesingiziwa hata alipobanwa na spika bado alishindwa kukana kuhusika kwako kuidhinisha malipo serikalini. Katiba ipo wazi wewe siyo muidhinishaki wa mapato serikalini. Kama unakumbatia kuidhinisha upigaji huu basi unakiuka hata Katiba. Wape mbuzi wa Pasaka yatima wetu lakini kwa watanzania zawadi pekee ya Pasaka ni kutuondolea mtu huyu leo. Aende akasimamie timu yake ya SBS na mabasi yake.
Hakuna kitu kama hicho,walioiba wawe wengine harafu akina Mwigulu wawajibike Kwa lipi hasa?
 
Sasa kama anaidhinisha kwa nini asiseme. Tatizo watz tunapenda sana kudanganywa.

Mwigulu kawa muwazi. Na pengine maza kafanya hivyo akiamini atazuia baadhi ya watu.

Jiulize hiyo bili ya ongezeko la hela ya ndege kaijuaje na aliongea kwa uwazi hadi kusema aliyemletea hiyo bili ni stupid.
 
Back
Top Bottom