Mwigulu Nchemba yuko wapi tuhuma zote hizi zinakukabili??

Status
Not open for further replies.

Bado Kidogo 2015

JF-Expert Member
May 24, 2012
207
78
Wadau nimesikiliza clipp hiyo na kuona Mwigulu Nchemba ametupiwa shutuma kede kede na sijasikia hata moja ikijibiwa. Kwa kuwa Mwigulu ni member humu naomba atazame clipp hiyo kwa makini sana nakujionea mwenyewe jinsi alivyowekwa uchi!!

Nimeamini kabisa kwamba CDM ni walimu wazuri wa kuwaelimisha watu maovu ya CCM. Uongo sipendi sikilizeni wenyewe na kisha mtoe mawazo yenu.



Karibu uchangie baada ya kusikiliza ili kuepuka malumbano.
 
Last edited by a moderator:
Huwa hajali kitu huyo hapo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Yupo bize anaandaa movie nyingine. Ipo siku Mungu atajibu maombi ya waja wake

Kama yupo busy kuandaa movie nyingine basi atakuwa hana akili kabisa maana hapo kawekwa uchi kabisa vinginevyo angeshitaki huyo jamaa aliyemwagia shutuma hizo.
 
Yupo makunda kwa mganga wa kienyeji kuongeza nguvu za kishetani,Hawajui kuwa wananchi wanazifahamu fika hila chafu za ccm tangu enzi hizo
 
Hayuko studio za bongo movie akifanya edition ya video mpya?Anyway katika hili atalipwa duniani hapahapa he is a killer,deny it

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hayuko studio za bongo movie akifanya edition ya video mpya?Anyway katika hili atalipwa duniani hapahapa he is a killer,deny it

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Clipp ingekuwa imetolewa na Nape Nnauye au Juliana Shonza na mwenzake Mwisho mwampamba ingekuwa imepigiwa upatu sana ili dunia nzima ujue.

Nasi tupaze sauti kwa shutuma hizi kuona Mwigulu Nchemba anasemaje juu ya shutuma hizi? Vinginevyo ni kweli anahusika.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom