Mwigulu Nchemba,Tupe kauli yako baada ya mahakama kumfutia Rwakatale kesi ya Ugaidi

Mwigulu hawezi toa kauli yoyote kwa sababu alifikiri kwa kufanya hivyo (kufungua kesi ya kutengeneza) kutaisaidia ccm
 
Kesi ya ugaidi ilifunguliwa na mahakama na imebalishwa na mahakama kuwa ya utekaji na ulishaji sumu, mwigulu hahusiki hapo

Sasa wewe umesahau alivyokuwa akipiga kelele bungeni kuhusu ushahidi wa wa ugaidi dhidi ya Lwakatare,au umesahau jinsi alivyojinasibu juu ya kutoa ushahidi hata wa Mbingfuni?? Huyu bwana mdogo amelewa madaraka anafikiri watawala anaojikomba kwao wataendelea kuongoza milele,akili ya mende hii....."we stay seeing the time will tell"
 
Mwingulu hastahili hata kuwa mwalimu wa shule ya msingi licha ya wadhifa alionao CCM! Ukipata kuiona Cv yake utashangaa, Ndo wale wanaosoma bachelor ya mwaka1, diploma ya miez 6. Tanzania kuna wasomi wengi ila tunaongozwa na wajinga kama akina Mwingulu. Mwisho umefika
 
Kesi ya ugaidi ilifunguliwa na mahakama na imebalishwa na mahakama kuwa ya utekaji na ulishaji sumu, mwigulu hahusiki hapo
we ullimsikia kigulu chembe mwenyewe alicho kisema?,ule mkanda vp?,angalia usijekuwa mtumwa.
 
we kamasi zimejaa kichwani. aliyeleta mashtaka ya ugaidi ni dpp a.k.a duka la nolle prosequi. mahakama kazi yake ni kuletewa na kusikiliza kesi na kutoa maamuzi. nyambaf we

Ooh -la-la! It hit him right in the nuts!
 
Kesi ya ugaidi ilifunguliwa na mahakama na imebalishwa na mahakama kuwa ya utekaji na ulishaji sumu, mwigulu hahusiki hapo
ma neno ya mwigulu umeyasikia lakini?,ule mkanda nao vp au we ullimsikia kigulu kasemaje?.au we ndo kijakazi aka mtumwaye?.
 
Back
Top Bottom