Mwigulu Nchemba: Safari ya Zitto imefika mwisho

Status
Not open for further replies.
Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni, Hivi ukiwa mtu mwenye aliki timamu na kujali ubinadamu unaweza kumsimamisha mlemavu na kumuonyesha mbele za watu kama sanamu, huyo jamaa alimwagiwa Tindikali kule Igunga na CCm wenyewe kama propaganda zao zilivyo kwani wale vijana wote wa CDM waliokuwa wamekamatwa kwa tuhuma za tukio hilo wameachiwa na hawana kesi inakuwaje CDM ihusike hapo? mi nafikiri imefikia wakati sasa tume za haki za binadamu zikemee udhalilishaji huu unaofanywa na CCM juu ya walemavu.
 
Hayo maelfu ya watu wako wapi? Tafuta picha ya mkutano wa CDM uliofanyika hapo siku za nyuma uone maelfu ya watu. CCM kwisha wanamdanganya nani?
 
5/Feb/2013 Naibu katibu Mkuu ccm Mwigulu amehutubia wananchi wa mjini Bukoba na kushambulia upinzani.Kwamba mwisho wa Dk Slaa ni 2015 wale wanaomuona akiapishwa Ikulu wanavuta ban...kuwa safari ya Zitto imeishafika mwisho na wamemwacha aende zake kwa kuwa hatoki kanda ya kasikazini,kwamba upizani wote ni vipofu hawajui nchi inapoelekea na CCM hawako tayari kumuona Joseph Mbilinyi(Sugu)akipewa Uwaziri Mkuu.

attachment.php
attachment.php

Mwigulu akimtambulisha kijana aliyedai alimwagiwa tindikali na Chadema,wengine ni maelfu ya wananchi waliohudhuria sherehe za kumbukumbu ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Mayunga

Hapa maelfu wako wapi?
 
Kichwani hana jambo lingine isipokuwa CHADEMA, Dr. SLAA na ZITTO. Aibu kwa mtu ambaye chama chake kiliamini kuwa kina mtu mwelewa hususan kwenye uchumi kumbe ni zaidi ya gharasa.
 
Huu ndo upuuzi wa Mwigulu, baada aleleze maendeleo yaliyoketwa na serikali tya chama chake, yeye anaongea CDM kila siku!
 
Huko bukoba wake za watu watapona kweli,hasa wa makada wenzie wa ccm!!!!!!!
 
Acheni kumjadili Zito wekeni mezani hoja zenu!Zito ni mwadilifu kuliko yeyote ndani ya Magamba!Kwangu mimi Zito ni zaidi ya Rais Tanzania!Huwez fananisha Mwigulu Nchemba na Zito hata kidogo ni sawa na kufananisha thamani ya Zidane na Lunyamila.My take wekeni hoja za msingi ambazo ni zaidi ya Chadema na Mh Zito.
 
hesabu za kikomunisti hizo inapigwa hesabu ya kila kitu nyasi watu na mchanga ndo inatimia maelfu.........CCM woyeeeeeeeeeee.....!!!!?????
 
KWELI MACCM NI MAJUHA NA YOTE YAMEPOFUKA! YAKO WAPI MAELFU YA WATU HAPO?????

MWIGULU KILA MARA NAKUKUMBUSHA, WANAIRAMBA KULE HOME WANA MATATIZO YA MAJI, DAWA, HAKUNA HOSPITALI ZILIZOKO HAZITOI HUDUMA MAANA TUNAENDA TUNAAMBIWA NENDA KCMC AU MUHIMBILI HUKU UKIJUA WAZI UWEZO WETU KIFEDHA HATUWEZI KUFIKA HUKO NA LABDA TUENDE TUKAFIE BARABARANI NA TURUDISHWE.

BADO SHULE HAMNA, MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI HII IRAMBA HAINA HIGH SCHOOL WALA O-LEVEL SCHOOL YA MAANA. ZILIZOPO ZOTE NI ZILE ZA KATA ZINAZOTOA WAHITIMU WA dv4 NA ZERO. HAYA NDIO MAMBO TULIKUPA UYAFANYIE KAZI KUPITIA BUNGE.
 
HUYU JAMAA ANAYE DAI ALIMWAGIWA TINDIKALI KAMA VILE NAMJUA-WALIKUWA DARASA MOJA NA MWIGULU PALE MAZENGO WAKATI ULE MI NIKIWA FORM2. KUNA DILI HAPA MTU KAPEWA.:yield:
 
Acheni kumjadili Zito wekeni mezani hoja zenu!Zito ni mwadilifu kuliko yeyote ndani ya Magamba!Kwangu mimi Zito ni zaidi ya Rais Tanzania!Huwez fananisha Mwigulu Nchemba na Zito hata kidogo ni sawa na kufananisha thamani ya Zidane na Lunyamila.My take wekeni hoja za msingi ambazo ni zaidi ya Chadema na Mh Zito.

Uko sahihi kamanda.
 
Inafurahisha sana, jamaa hawana cha kuzungumza na wananchi katika maadhimisho ya chama chao kwa hiyo agenda yao kuu ni CHADEMA/ SLAA/ ZITO. Safi Sana! Inafurahisha sana; maana hata kwenye mkutano wao mkuu ili kupata kura ilibidi mtu ajieleze namna gani alivyothubutu kuwatukana CHADEMA na amendaa vijembe gani kwa CHADEMA! Inafurahisha sana. Maana maneno ya manabii yanatimia "UFALME UMEJIFITI NA UMEFARAKANA WENYEWE!"

EJL
 
5/Feb/2013 Naibu katibu Mkuu ccm Mwigulu amehutubia wananchi wa mjini Bukoba na kushambulia upinzani.Kwamba mwisho wa Dk Slaa ni 2015 wale wanaomuona akiapishwa Ikulu wanavuta ban...kuwa safari ya Zitto imeishafika mwisho na wamemwacha aende zake kwa kuwa hatoki kanda ya kasikazini,kwamba upizani wote ni vipofu hawajui nchi inapoelekea na CCM hawako tayari kumuona Joseph Mbilinyi(Sugu)akipewa Uwaziri Mkuu.

attachment.php
attachment.php

Mwigulu akimtambulisha kijana aliyedai alimwagiwa tindikali na Chadema,wengine ni maelfu ya wananchi waliohudhuria sherehe za kumbukumbu ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Mayunga

Duh!

Ukiendekeza njaa ni shida tupu!! Hivi hili jamaa lililo ungua uso limekubali kabisa kutembezwa eti kutoa ushuhuda wa kumwagiwa tindikali wakati wa kampeni za uchaguzi Igunga!!!!???? Halijui kwamba Mwigulu nafsi inamsuta na ndio maana anatafuta fadhila kwa waTanganyika ili kuficha unyama wao walio ufanya kule Igunga!!!!

Malipo ni 2015 ndipo kila dhambi waliyo ifanya watailipi.
 
watu hawahudhurii mikutano yao sikuizi kwa aibu wanaamua kuongea matusi na kashfa. Subiri zamu yenu ole wenu mlie!
 
Hivi kwa nin Nchemba huwa hana hoja za maendeleo mbona cjawahi kumsikia akiwa nje ya bunge akiongelea matizo ya watanzania badala yake hutuia mda mwingi kuitaja CDM. Au ndio kusema CCM kama shetani lazima anapodanganya wadhambi amtaje Mungu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom