Mwigulu Nchemba Ndani Ya Mara jumapili 30/11

Danganya toto hiyo, ameshindwa kufuta misamaha ya kodi kwenye makampuni ynye kukwapua rasilimali zetu, ameshindwa kuwalipa wazee mafao yao, ameshindwa kufuatilia Trillions zilizoko Uswis kama wafanyavyo wakenya anakuja kujifagilia kiumbea umbea huku... Mara watamtoa nduki tu ...
Mh Mwigulu Nchemba ni kiongozi anayependwa sana wana CCM wenzake lakini pia ndiye kiongozi anayependwa zaidi sana na watanzania walio wengi tena hali na tabaka zote kutokana utendaji na Uchapakazi wake ulio na uadilifu sasa hili limezidi kudhihirishwa mpaka mh Zitto Kabwe akimpongeza kwa umakini na Uzalendo wake kwa taifa
 
Mbona unataka kubadili somo wewe!? Mie nakuuliza kuhusu ufuatiliaji wa mabilioni ya Uswiss unaleta mambo ya unyiramba!!!! Pesa unafuatilia lini au umepigwa stop na wezi na wahuni ndani ya chama chenu kutozifuatilia!? Jibu swali badala ya kujibaraguzabaraguza huku na kule.

Mwigulu ni jiwe kuu na wadau wamekiri
View attachment 206641
 
Unaikataa Neema? Utakuwa fisadi wewe maana mafisadi wote hawampendi Mwigulu

Wewe juliana shonza usituandikie pumba humu,hamna majibu ya msingi kutueleza watu wa musoma mafisadi,wachumia tumbo musoma hamna nafasi mtamuhutubia mathayo na watu waje aliowasomba kutoka wilaya mbalimbali
 
Sisi wakazi wa musoma hatuhitaji upumbavuuu wa ccm,ngoja kesho tuwaonyeshe kazi nyie ukoo wa panya,na mkumbe juzi tu hapa mmemtukana mzee wetu jaji warioba

sawa hata mwigulu haitaji wapumbavu kama wewe kwenye Mkutano wake.musoma oyeeeeeee kesho ndani ya Mkendo
 
Wewe juliana shonza usituandikie pumba humu,hamna majibu ya msingi kutueleza watu wa musoma mafisadi,wachumia tumbo musoma hamna nafasi mtamuhutubia mathayo na watu waje aliowasomba kutoka wilaya mbalimbali
Na bado mtasema yote
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    50.7 KB · Views: 77
  • image.jpg
    image.jpg
    33.4 KB · Views: 70
Mbona unataka kubadili somo wewe!? Mie nakuuliza kuhusu ufuatiliaji wa mabilioni ya Uswiss unaleta mambo ya unyiramba!!!! Pesa unafuatilia lini au umepigwa stop na wezi na wahuni ndani ya chama chenu kutozifuatilia!? Jibu swali badala ya kujibaraguzabaraguza huku na kule.
Unakufahamu sana? Si uende
 
Wana musoma tumefarijika na ujio wa kiongozi huyu maana anasadifu Fikra za Nyerere

Hahah yaani leo hadi misukule ya lumumba inajiita mwana musoma,unahitaji kuwa na kichwa cha mwenda wazimu ili uikubali ccm.Rip ccm,Rip mwigulu
 
Back
Top Bottom