Mwigulu nchemba aporomosha matusi.

Kimboka

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
353
163
Wakati wa kipindi cha uchaguzi wa igunga alipigiwa simu na mwananchi wake ambaye alimtaka haache kuwadanganya wanaigunga wakati iramba hakuna alichokifanya lakini mwananchi huyo aliambulia matusi kwa lugha ya kinyiramba kwamba(sikanikatambwila ni antu nasikaakutyela) yaani siwezi kuongea na mtu ambaye ajatawaza.pia mbunge huyu aliwahi kuwatukana wananchi wa urughu kwa kuwaambia nanukuu:ATAMULEKIPELA KURA ZANI SIKAMBYEZA INE NAZA NI MWANANZAGAMBA NAZEZEMALA.(hata msiponipa kura haisaidii kwa maana sasa mimi nimekuwa kidume nimenawiri) kwa ujumla huyu ndo nchemba madelu.
 
Mtu yetote mwenye akili timamu atamjua tu Mwigulu kuwa amekulia kwenye ukosefu wa mafunzo ya kinidhamu!
 
Elimu yake ni ndogo,
na kubwa atakuwa anakula msokoto kutoka nchi jirani
ni mikali sana ndo inayomvuruga akili.

Mtu anakupa chakula tena unampaka uchafu wako hii imekaa vibaya sana mkuu.
 
huyu Nchembwa huwa ana matatzo ya akili namfahamu vilivyo:A S cry:
 
Mtu alishawahi kusema huwa anachukuwa chumba Guest Single wanalala madume manne hata akiwa kwao unategemea nini hapo?
 
Heading na Cotent tofauti kabisa mkuu, nilidhani leo au jana kaporomosha hayo matusi, kumbe toka mwaka jana?
 
Wakati wa kipindi cha uchaguzi wa igunga alipigiwa simu na mwananchi wake ambaye alimtaka haache kuwadanganya wanaigunga wakati iramba hakuna alichokifanya lakini mwananchi huyo aliambulia matusi kwa lugha ya kinyiramba kwamba(sikanikatambwila ni antu nasikaakutyela) yaani siwezi kuongea na mtu ambaye ajatawaza.pia mbunge huyu aliwahi kuwatukana wananchi wa urughu kwa kuwaambia nanukuu:ATAMULEKIPELA KURA ZANI SIKAMBYEZA INE NAZA NI MWANANZAGAMBA NAZEZEMALA.(hata msiponipa kura haisaidii kwa maana sasa mimi nimekuwa kidume nimenawiri) kwa ujumla huyu ndo nchemba madelu.
Cheap propaganda...si rahisi kuamini unayotuhumu kwani haina chembe ya ushahidi wala mvuto!
 
Huyu jamaa mambo yake anayoyafanya nawasiwasi nae sani nilishawi kusikia kuwa ni sir elton john.
 
Join Date : 29th June 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received
0
Likes Given
0
 
Wakati wa kipindi cha uchaguzi wa igunga alipigiwa simu na mwananchi wake ambaye alimtaka haache kuwadanganya wanaigunga wakati iramba hakuna alichokifanya lakini mwananchi huyo aliambulia matusi kwa lugha ya kinyiramba kwamba(sikanikatambwila ni antu nasikaakutyela) yaani siwezi kuongea na mtu ambaye ajatawaza.pia mbunge huyu aliwahi kuwatukana wananchi wa urughu kwa kuwaambia nanukuu:ATAMULEKIPELA KURA ZANI SIKAMBYEZA INE NAZA NI MWANANZAGAMBA NAZEZEMALA.(hata msiponipa kura haisaidii kwa maana sasa mimi nimekuwa kidume nimenawiri) kwa ujumla huyu ndo nchemba madelu.

Jipange wewe Hizo chuki binafsi tupe ushahidi sio kuropoka tuu na imepita miezi mingapi toka uchaguzi wa igunga ufanyike mpaka ulete hyo stori yako leo?
 
​huyu mwigulu ni mgonjwa wa kichwa
Wakati wa kipindi cha uchaguzi wa igunga alipigiwa simu na mwananchi wake ambaye alimtaka haache kuwadanganya wanaigunga wakati iramba hakuna alichokifanya lakini mwananchi huyo aliambulia matusi kwa lugha ya kinyiramba kwamba(sikanikatambwila ni antu nasikaakutyela) yaani siwezi kuongea na mtu ambaye ajatawaza.pia mbunge huyu aliwahi kuwatukana wananchi wa urughu kwa kuwaambia nanukuu:ATAMULEKIPELA KURA ZANI SIKAMBYEZA INE NAZA NI MWANANZAGAMBA NAZEZEMALA.(hata msiponipa kura haisaidii kwa maana sasa mimi nimekuwa kidume nimenawiri) kwa ujumla huyu ndo nchemba madelu.
 
Ukimwona mtu anatukana mara nyingi jua busara ya kujenga hoja ni ndogo au hakuna kabisa!!!
 
Mtu alishawahi kusema huwa anachukuwa chumba Guest Single wanalala madume manne hata akiwa kwao unategemea nini hapo?

AAAAH sijaelewa inamaana huwa hana psa ya kuchukua chumba kingine au anaogopa kulala peke yake?
 
Back
Top Bottom