Aniko
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 1,766
- 958
Kwani wewe unataka kusema kitu gani?Kwani kuna kitengo kimoja tu cha kufanya hayo hadi ushangae!?

weka ushahidi hapaTelevision ya Kenya pia ya KTN iliwahoji Godless Lema na Msigwa kuwa je Lisu aliripoti kituo chochote polisi kuhusu kufuatiliwa kwake? Wakajibu kuwa hakuripoti polisi kabisa.
Nimekuelewa mkuuMkuu barafu mimi ntatofautiana na wewe leo.
Kauli ya Mwigulu haina tofauti na ya IGP, wote wamepangiwa cha kusema na wameongea uongo kuliko ukweli waujuao.
Mwigulu kasema walilifuatilia gari wakabaini kuwa ni la Arusha kisha wakaconclude kwamba halihusiki na eti uchunguzi wao ndo ukafikia ukomo na sijaelewa alitumia chombo kipi cha kiuchunguzi kama si polisi kitengo ambacho kipo chini ya wizara yake na papo hapo boss wa kitengo anakanusha kuhusika na huo uchunguzi!?!
Pumbuziiii zaoo..Mahojiano ya Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba aliyoyafanya jana na Clouds Media yameniacha na maswali mengi.
..Mh. Mwigulu amedai Polisi walifanya uchunguzi kuhusu gari lililoripotiwa kumfuatilia TL.
..Katika maelezo yake amedai namba aliyoripoti TL ni ya gari lililopo Arusha na halikuwahi kufika DSM ktk kipindi ambacho TL alidai lilikuwa likimfuatilia.
..Mimi nimeshangazwa kidogo na majibu hayo kwasababu IGP Sirro alipoulizwa kuhusu kuchunguza kama kulikuwa kuna gari inamfuatilia TL alidai hakuwa na taarifa hizo kwasababu TL hakufika kituo chochote cha Polisi kuripoti.
..Mpaka hapo sijui sasa tumuamini Waziri wa Mambo ya Ndani au tumuamini Mkuu wa Jeshi la Polisi.
Umejibu km hamnazo kichwani.Kwani kuna kitengo kimoja tu cha kufanya hayo hadi ushangae!?
Hao wote ni wapangaji wa mauaji ndio maana wanaweweseka..Mahojiano ya Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba aliyoyafanya jana na Clouds Media yameniacha na maswali mengi.
..Mh. Mwigulu amedai Polisi walifanya uchunguzi kuhusu gari lililoripotiwa kumfuatilia TL.
..Katika maelezo yake amedai namba aliyoripoti TL ni ya gari lililopo Arusha na halikuwahi kufika DSM ktk kipindi ambacho TL alidai lilikuwa likimfuatilia.
..Mimi nimeshangazwa kidogo na majibu hayo kwasababu IGP Sirro alipoulizwa kuhusu kuchunguza kama kulikuwa kuna gari inamfuatilia TL alidai hakuwa na taarifa hizo kwasababu TL hakufika kituo chochote cha Polisi kuripoti.
..Mpaka hapo sijui sasa tumuamini Waziri wa Mambo ya Ndani au tumuamini Mkuu wa Jeshi la Polisi.
..Mahojiano ya Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba aliyoyafanya jana na Clouds Media yameniacha na maswali mengi.
..Mh. Mwigulu amedai Polisi walifanya uchunguzi kuhusu gari lililoripotiwa kumfuatilia TL.
..Katika maelezo yake amedai namba aliyoripoti TL ni ya gari lililopo Arusha na halikuwahi kufika DSM ktk kipindi ambacho TL alidai lilikuwa likimfuatilia.
..Mimi nimeshangazwa kidogo na majibu hayo kwasababu IGP Sirro alipoulizwa kuhusu kuchunguza kama kulikuwa kuna gari inamfuatilia TL alidai hakuwa na taarifa hizo kwasababu TL hakufika kituo chochote cha Polisi kuripoti.
..Mpaka hapo sijui sasa tumuamini Waziri wa Mambo ya Ndani au tumuamini Mkuu wa Jeshi la Polisi.
Mwigulu na Siro wanasahau kwamba polisi hushughulika na uhalifu wowote unaoripotiwa na usio ripotiwa, yote hiyo kazi ya polisi. Ndio maana kuna "Detectives" kwenye polisi. Kuna arrests nyingi polisi wetu hawa hawa wamefanya bila hata ya kuwepo na mtu aliyeripoti polisi, tatizo ni kwamba polisi wetu hawako independent!! Hawasimamii haki, wanaminya upande mmoja. Not professionals!..Mahojiano ya Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba aliyoyafanya jana na Clouds Media yameniacha na maswali mengi.
..Mh. Mwigulu amedai Polisi walifanya uchunguzi kuhusu gari lililoripotiwa kumfuatilia TL.
..Katika maelezo yake amedai namba aliyoripoti TL ni ya gari lililopo Arusha na halikuwahi kufika DSM ktk kipindi ambacho TL alidai lilikuwa likimfuatilia.
..Mimi nimeshangazwa kidogo na majibu hayo kwasababu IGP Sirro alipoulizwa kuhusu kuchunguza kama kulikuwa kuna gari inamfuatilia TL alidai hakuwa na taarifa hizo kwasababu TL hakufika kituo chochote cha Polisi kuripoti.
..Mpaka hapo sijui sasa tumuamini Waziri wa Mambo ya Ndani au tumuamini Mkuu wa Jeshi la Polisi.
Acha ushamba mwili kwani ilikuwa maiti..! Zombi kweli wewe..Mkweli ni comrade Mwigulu Nchemba ,licha ya utofauti wake wa itikadi na Lissu,ni nadra sana kukuta Nchemba anamshambulia Lissu kwa maneno,iwe nje ya bunge au ndani,pia Lissu vivyo hivyo.
Nchemba anaumia kwa ndani,Lissu ni "pot" wake,mtu wa nyumbani...dhamira inamsuta!!Siku ya kumpakia Lissu kwenda Nairobi,Nchemba ndio alitangulia kwa ndani kupokea mwili na kuungiza katika ndege!!
Mwigulu ndio mkweli,huyu mwingine anaweza kuwa ni "Masharti ya Kazi"
Nikosoe tu kawaida...Matusi ya nini?Acha ushamba mwili kwani ilikuwa maiti..! Zombi kweli wewe..
Hilo lijamaa halielewi liachwe tu hivyo lilivyo..ni chombo/kitengo gani kilifuatilia?
..Je TL aliripoti kwenye chombo/kitengo kilichofuatilia?
Umejibu km hamnazo kichwani.