Mwezi wa Aprili unaaanza kesho. Je, umeshasoma vitabu vingapi mwenzangu?

1. THE 5 AM CLUB by Robin Sharma
Kinazungumzia umuhimu wa kuamka mapema, Siyo tu kuamka bali na kutumia lisaa limoja (holy hour) Kwa kupitia 20/20/20 formula ambayo unaiweka katika lisaa hilo ktk kujenga empires 4 ambazo ni healthset,mindset, soulset na heartset.

2. The subtle art of not giving a f*ck By Mark Manson
Kinahusu namna gani mambo tunayoyapa vipaumbele yana matter au hayana umuhimu kwa kiasi gani, muandishi kajaribu kuzungumzia ulimwengu wa sasa kwani tunaishi kwa ku compare Progress zetu na watu wengine.

3. Mandela's way By Richard stingel
Kazungumzia namna Mandela alivyoweza kuishi kwa miaka yote gerezani na namna gani alikua anaona mbali katika suala zima la uongozi na hata maisha yake ya mahusiano.
Kuna njia 15 katika kitabu hiki.

4. Mind for numbers by Barbara Oakley
Muandishi kazungumzia jinsi ya kusoma hesabu na hata kubadili mtazamo katika masuala ambayo unahisi ulikua butu kwani yeye alisoma linguistic na hakupenda hesabh Tokea akiwa mdogo. Lakini baada ya kuingia jeshini akapata challenge na akaona umuhimu wa hesabu. Mwishowe kasoma electrical engineering Kutokea kuwa kilaza wa hesabu..

5. Never split the difference by chriss Voss
Jamaa anadai kila kitu katika maisha ni negotiating. Huyu nguli wa negotiations za FBI Anatoa namna za kuongea na persuasions technics ambazo zinafanya watekaji wanawaachia ma Hostage Bila gharama, zaidi na namna ya Kufanya mauzo.

6. Why we sleep by Mathew walker
Huyu daktari anazungumzia umuhimu wa kulala na matatizo yanayotokana na kutokupata usingizi wa kutosha kwa mfano mtu asiyelala masaa 6+ ana hatari ya kupata coronary heart disease na hata akifanyiwa uchunguzi Ataonekana kuwa ni pre-diabetic...n.k.n.k great read

7. Tools of the titans By Tim ferris
Jamaa kafanya kwa muundo kama wa interview kwa wale watu popular na waliobobea katika career zao na kushare habits zao za kila siku pamoja na rituals walizojiwekea.
Watu wengi waliofanikiwa wana tabia na ratiba za kufanana.

8. 4-hour work week by Tim Ferris
Tim anaonesha kwamba sio lazima uwe active masaaa yote kazini ndo upate kuwa effective na kuonesha efficiency Yako katika eneo la kazi, hapana unaweza ku minimize uwepo wako lakini kila kitu kikawa sawa. Binafsi anafanya kazi zake Hata Akiwa vacation.

9. The art of expressing human body by Bruce lee
Hapa unakutana na mazoezi na routines za bruce na mitazamo yake katika suala zima la afya.

10. Kaizen way by Robert Maurer
Anazungumzia umuhimu wa kufanya hatua kidogo kidogo katika kukamilisha jambo kubwa. Kwa mfano huwezi kusema unaacha kuvuta sigara ghafla. No, unaanza kwa kupunguza then utaacha. Au katika maendeleo unafanya small changes ambazo at a time ukizifanya kwa muda utapata matokeo makubwa.

11. Atomic habits by James clear
James anazungumzia namana ya kutengeneza tabia zitakazoshika na kuacha zile za mwanzo, kwa maana huwa tunapanga vitu bahati mbaya tunafanya kidogo na kuacha.
James kaelezea namana ya kufanya habits zako ziwe konki kabisa.

12. Dark psychology 101 by michael pace
Kaelezea njia zote kuhusu manipulations na persuasions, brainwashing na hata wale watu wanaoitwa psychopaths nA mengi mno. Kwanini watu wanakja wafia dini, magaidi na inakuwaje mpaka wanakua mateka kwa watu fulani.

13. The code book by simon singh
Singh kaelezea namna ya kutengeneza na ku crack codes na historia ya codes Kiujumla.

14. Can't hurt me by david goggins
Huyu retired navy seal, Former world Guiness record holder wa pullups 4000+ ndan ya masaa 17 Kazungumzia jinsi gani background, mazingira hayahusiani na namna maisha yako yalivyo bali ni wewe mwenyewe. Alikua na pound 250 na alipaswa kuzipunguza ili aruhusiwe kujiunga na SEAL, Hakua anajua kusoma sahihi mpk alipokua junior high school..
Anaonesha namna alivyoamua kuwavutia watu na kuwa real kwake mwenyewe na kubadilika.

15. Living with the SEAL by Jesse itzler
Kwa ambaye atasoma hiki kitabu atagundua huyu SEAL ni david gogins japo hakutaka kutajwa,
Kinahusu namna ambavyo jamaa kafunzwa discipline, simplicity na consistency na namna ya kuwa na mindset ya kwenda extra mile alipokua akiishi na huyu navy seal.

16. Living with the monks by jesse itzler
17. Ego is the enemy by Ryan Holiday
18.universal laws by jennifer o'neill.
19. Laws of human nature by Robert green (sijamaliza)
20. Sidharta ...

And many more

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Summary nzuri sana mkuu, kama una soft copy tunaomba utupie humu mkuu
 
Mkuu wewe ni mkali. Watu kama wewe ni wachache sana. Nakuonea wivu . Acha na Mimi nijaribu kidogo kuongeza spidi ya kusoma, umenitia moyo sana. Hongera.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu. Unaweza pia kufanya hivyo...One Book a day makes the shit go away!
Kingine mimi nasikiliza sana audiobooks za hivyo nakuwa fasta kuliko kusoma mara nyingins, pia ni member wa mentorbox
Mkuu wewe ni mkali. Watu kama wewe ni wachache sana. Nakuonea wivu . Acha na Mimi nijaribu kidogo kuongeza spidi ya kusoma, umenitia moyo sana. Hongera.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Things I wish I knew before I got married by GARY CHAPMAN

2. Who will cry when you die by Robin Sharma

3.Dont be a wife to a boyfriend by Shonda White

4. Born a crime- Trevor Noah

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu spidi yangu ya kusoma mwaka huu iko chini sana . Mpaka sasa kwa mwaka huu nimeshasoma vitabu viwili tu yaani.

1. The power of subconscious mind ,by Dr Joseph Murphy

2. Think and grow rich, by Napoleon hill.

Naomba kwa wale tunaopenda kusoma naomba tushirikishane umeshasoma vitabu gani mpaka sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta pesa ndugu achana na mavitabu.
Mavitabu ni kwa ajili ya watu wavivu kujishughulisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusoma vitabu ni vizuri lakini si kila kitabu kina manufaa kwa kila msomaji. Kumezuka wimbi la vitabu vya hamasa na mbinu za maisha vyenye kujinasibu kunasua akili zilizonasa. Ukiwa mteja wake unaishia kuwa binadamu mwenye utajiri wa theories za mafanikio na illusions.

Wengine ni hawa wenye kuhamasisha wenzao wafuge kuku na kulima matikiti. Brothers, mtu asikuweke mbele ya projector kukuhubiria upumbavu...mwambie akakufundishie shambani kwake
 
Back
Top Bottom