Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 2,753
- 3,305
Mwezi ni nguvu ya asili yenye kuleta giza ndiyo nishati inayotupatia wakati wa usiku.
Mwezi ni jumla ya wiki nne ambapo kuna siku takribani 30/31/29 na kwa mwaka mzima tunapata miezi 12.
Wazungu wametumia neno msamiati MOON kumaanisha nishati,vile vile wametumia neno MONTH ikimaanisha idadi ya siku.
Mfumo huu umeunganishwa na mambo ya uzazi kwa mwanamke,tumezoea kusema mwanamke bila ya kupata ada ya mwezi hana uzazi.
SWALI
Uzazi/vizazi unaweza kuathiriwa na hii terminology ya mwezi?