Imagine mpenzi wako awe ana cheat kama wewe au zaidi yako.
kuna watu wanajipa moyo kuwa wapenzi wao ni waaminifu wakati yawezekana akawa ana cheat zaidi yako.
Kuwa na wapenzi wengi sio jambo la kujivunia.
What goes around comes around.
tafakari.
I believe kuwa kama wewe ni kicheche obvious utakutana na kicheche mwenzio... wengi huwa wanajifariji wenzi wao wametulia kumbe wanafanya kimya kimya. kama umetulia jua na mwenzio katulia....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.