Mwenzenu nimenasa kwa mtoto wa Kondoa sifurukuti

Mrangi mbaya sana....sema Kibila dogo lakini Machachali sana. Kwanza ukianza kutembea na Mrangi hujue ndoa yako imekufa. Mrangi haachwi kabisa,,, labda aamue kukiacha yeye. Hapo tayari imenasa....
 
Back
Top Bottom