nimekuja na maembe KIBAO.....vipi mbona unalog off mapema
Sisi tunataka maembe tu kibao hatukitaki,ndio maana nikakuambia kwa kuwa kwetu hakuna kiti/mkeka/jamvi basi utakalia katika hiko kibao ulichokuja nacho.Nalog offdah sasa hiyo ndo kula gani,halafu mbona hujalog off
hahaha poa hakuna noma ila kwasababu we ni mgeni ningependa zaidi ungekaa katika hiko kibao ulichokuja nacho.Nalog offbasi tutakula tukiwa tumesimama
we Gozo dah ukaribisho wako ndo nimeupenda zaidi kuliko wa watu wote