Mwenyekiti wangu Magufuli, hakukuwa na haja ya kulazimisha kuonesha kuwa CCM sasa ni moja. Asilimia 100 si kweli!

ANC Final Results

*President*
Cyril Ramaphosa- 2440
Nkosazana Dlamini-Zuma 2261

*Deputy President*
David Mabuza 2531
Lindi Sisulu 2150

*National Chairperson*
Gwede Mantashe 2418
Nathi Mthethwa 2269

*Secretary General*
Senzo Mchunu 2336
Ace Magashule 2360

*D Secretary General*
Jessie Duarte 2474
Zingisa Losi 2213

*Treasurer General*
Paul Mashatile 2513
Nkoana Maite Mashabane 2178
Hizo ndizo chaguzi za chama ............ siyo haya maigizo ya North Korea!!
 
kuna matatizo ya uchaguzi wa SG ila wenzetu democracy yao imekomaa,tofauti ya chaguzi hizi mbili ndio utaona sisi tunaishi nchi ya kipori,uchaguzi wa ANC soko limereact na rands imeimarika more than 4%,uchaguzi wa ccm hakuna kilichotokea na shillings imeloose ground against big currencies including zar,mgombea anashinda kwa 100% karne hii?,wakati wenzetu waliteuwa kampuni binafsi kusimamia uchaguzi wao ,ccm imemteua mkapa kusimamia uchaguzi,kidumu ccm
Duh aibu tupu
 
Nape, Bashe, Membe, January na wengine wengi hawakumpigia kura magufuli iweje apate 100% ? Wajumbe wengi wamesema hawakumpigia kura kabsa, uchakachuaji umeanzia kwenye chama utaendelea chaguzi za marudio mpaka uchaguzi wa mwaka 2020.
acha porojo wamekwambia hawakumpigia?
 
Sikwenda Dodoma ingawa ni Mjumbe wa Mkutano ule. Tena Mjumbe jembe, kada nisiye wa kawaida. Lakini, nimesikia na kuona kuwa kura za Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti Bara na Makamu Mwenyekiti Zanzibar wamepata kura asilimia 100. Haya ni maigizo yasiyo na msingi. Hakuna demokrasia ya mtindo huo.

Watu hutofautiana. Haiwezekani ukumbi mzima wawapende na kuwahitaji wagombea hao hao katika nafasi hizohizo. Haiwezekani asilani. Hata bingwa wa ushindi wa kishindo, Hayati Saddam Hussein aliyekuwa Kiongozi wa Iraq alikuwa akipata asilimia 99. Moja 'walikuwa wakimkataa'. Katika demokrasia, hakuna mshindi wa asilimia 100!

Nilipomuona Mzee Mkapa, kaka yangu na mtani wangu, akikabidhiwa usimamizi wa Uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, nikaziona dalili za 'matokeo yasiyo ya kawaida'. Halafu, nikamuona ndugu yangu Ndugai. Nikajua, mambo yameshaiva. Mwenyekiti wangu, wewe ni kiongozi wetu mkuu wa kichama. Ni wewe tu.

Haukuwa na hakukuwa na haja ya 'kupata' asilimia 100. Kupata alama zile kwa mchanganyiko ule ni vichekesho na kekundu!

Mambo ya expansion joints hayo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (mapumzikoni Nairobi, Kenya)
Mjumbe jembe halafu hukwenda Dodoma

Ni mjumbe gani usiyejua taratibu za chama chako toka miaka dahari

Wewe utakuwa umejificha ufipa na kujiita mjumbe jembe nyuma ya keyboard
 
Vipi Mwenyekiti wenu wa Maisha Mbowe?
Mbowe kama Nyerere...nilimsikia Makamba akiwataja Mbowe na Lowassa nikajua CCM wenye akili wanawahofia hawa makamanda..Lije jua inyeshe mvua mapambano yanaendelea...Polisi tendeni kazi zenu kwa haki mko kwa ajili ya watanzania wote..kamshahara kako ni sisi ndio tunawachangia tukisusa watoto nyumbani watakufa njaa..asalam
 
Maajabu. Hata za kuaribika safari hii hakuna?! Hata wakati wa Nyerere hakukuwa hivi za 100%!
 
Acha wafu wazikane wenyewe yani magufuli anajilazimishia furaha kabisa sasa c bora angenunua ndiyo hata asilimia 60 akawa na uhakika nazo then akaacha waliobaki wapige kura au aliona kinyume cha ndiyo ni hapana so akaogopa yasije tokea ya 100% hapana hahaaaaa m huyu mtu nashindwa kumwelewa kabisa
 
Sikwenda Dodoma ingawa ni Mjumbe wa Mkutano ule. Tena Mjumbe jembe, kada nisiye wa kawaida. Lakini, nimesikia na kuona kuwa kura za Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti Bara na Makamu Mwenyekiti Zanzibar wamepata kura asilimia 100. Haya ni maigizo yasiyo na msingi. Hakuna demokrasia ya mtindo huo.

Watu hutofautiana. Haiwezekani ukumbi mzima wawapende na kuwahitaji wagombea hao hao katika nafasi hizohizo. Haiwezekani asilani. Hata bingwa wa ushindi wa kishindo, Hayati Saddam Hussein aliyekuwa Kiongozi wa Iraq alikuwa akipata asilimia 99. Moja 'walikuwa wakimkataa'. Katika demokrasia, hakuna mshindi wa asilimia 100!

Nilipomuona Mzee Mkapa, kaka yangu na mtani wangu, akikabidhiwa usimamizi wa Uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, nikaziona dalili za 'matokeo yasiyo ya kawaida'. Halafu, nikamuona ndugu yangu Ndugai. Nikajua, mambo yameshaiva. Mwenyekiti wangu, wewe ni kiongozi wetu mkuu wa kichama. Ni wewe tu.

Haukuwa na hakukuwa na haja ya 'kupata' asilimia 100. Kupata alama zile kwa mchanganyiko ule ni vichekesho na kekundu!

Mambo ya expansion joints hayo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (mapumzikoni Nairobi, Kenya)
Hakuna rais mstaafu na mwenye roho mbaya kama MKAPA. Na yeye ndio mara nyingi anamshauri Magufuli. Ndio maana watoto wake na wakwe zake wamepewa vyeo na Magufuli. Yaani narudia tena adui mkubwa wa DEMOKRASIA TANZANIA ni Mkapa then Magufuli
 
nilisoma mahali flani kuwa membe alisema alipiga kura ya hapana lakini kashangaa kuona matokeo ni zote ndiyo..! sijui lakini kama ni kweli au ilikuwa ni uzushi wa mitandaoni tu!
 
Hahahaa Mzee Tupa Tupa Umerudi kivingune.
Sikwenda Dodoma ingawa ni Mjumbe wa Mkutano ule. Tena Mjumbe jembe, kada nisiye wa kawaida. Lakini, nimesikia na kuona kuwa kura za Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti Bara na Makamu Mwenyekiti Zanzibar wamepata kura asilimia 100. Haya ni maigizo yasiyo na msingi. Hakuna demokrasia ya mtindo huo.

Watu hutofautiana. Haiwezekani ukumbi mzima wawapende na kuwahitaji wagombea hao hao katika nafasi hizohizo. Haiwezekani asilani. Hata bingwa wa ushindi wa kishindo, Hayati Saddam Hussein aliyekuwa Kiongozi wa Iraq alikuwa akipata asilimia 99. Moja 'walikuwa wakimkataa'. Katika demokrasia, hakuna mshindi wa asilimia 100!

Nilipomuona Mzee Mkapa, kaka yangu na mtani wangu, akikabidhiwa usimamizi wa Uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, nikaziona dalili za 'matokeo yasiyo ya kawaida'. Halafu, nikamuona ndugu yangu Ndugai. Nikajua, mambo yameshaiva. Mwenyekiti wangu, wewe ni kiongozi wetu mkuu wa kichama. Ni wewe tu.

Haukuwa na hakukuwa na haja ya 'kupata' asilimia 100. Kupata alama zile kwa mchanganyiko ule ni vichekesho na kekundu!

Mambo ya expansion joints hayo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (mapumzikoni Nairobi, Kenya)
 
Mbona wameshindwa kumsaidia Kimbisa kuchakachua kura, uchaguzi wa speaker wa bunge la EA? Kimbisa wa watubakaambulia ZERO.
 
Back
Top Bottom