Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Lindi ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ya CHADEMA imefanya maamuzi ya kijuha!

Kweli wewe ni kilaza, hivi huo uzi ndio umetoa majibu ya swali langu? Akili ndogo hizi zikijikakamua kuwaza mambo makubwa kupita uwezo wa akili yenyewe!

kama mwenyekiti wangu taifa ni form 4 tena wa division five hapo unategea mimi itakuwaje mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom