Hii ndio Tanzania zaidi ya uijuavyoHili suala ni gumu sana,unawaza kumtafuta mtu usie mjua wakati wengine wanavamia studio na mabunduki ila wandunda tu.
Hata wewe kama ni wa chama hicho kufa tuJaribu kuwa na utu ndugu.
Hapa umenena inawezekana kabisa au kuna wenzao walikamatwa au kuuliwa na wao wanaamua kulipiza kisasi police hawajaamua tu wangefanya msako usiku na mchana wangewakamatashida ya rufiji ni kuwa na idadi kubwa sana ya watu wanao miliki silaha kiholela,na wengi sn walikuwa wanajihusisha na ujangili wa meno ya tembo na mazao ya misitu ktk mapori ya selous vijiji km mkongo,mloka,kilimani,ruwe na delta ya rufiji.ss kudhibitiwa kwa ujangali na biashara ya magogo pamoja na kukamatwa kwa baadhi ya majangili naona wahanga wamegeuzwa viongozi wa chama na serikali wanaosimamia kwa dhati na pia labda waliotoa habari luganikisha vita ya ujangili.
Ujinga wa hao unaowashauri wanaenda kusimama barabarani na kuangalia kila mwenye ndevu na kisuruali kifupi wanakamata wanatesa nankuwaweka ndani.
Sasa jiulize mtu mwenye kanzu anaweza kuwa na stamina yakuendesha pkpk na kupiga risasi za kichwa? Wataenda na mihemko yakukamata watu hovyo wakitoa kisogo wanasikia chairman kapukuchuliwa macho.
Wakae na wananchi kwa urafiki kama unavyoshauri sio ubabe, na wengine wanaenda kwenye mikutano yao wanawasoma namba jua likizama vichwa kule
Ndo mujue na sisi hatujaribiwi .maana mikwara na kuua ndo munaita kasi ya ccmTuendako siko, tusiingize itikadi za kichama hapa.Tuungane katika kutokomeza mauaji haya. Taabu inakuja pale chama fulani kinaona kinahaki kuliko wengine. Hivyo kupekea watu mwenye grievances za kuonewa kuamua kurespond kimya kimya. This is very dangerous to our country.
Sema kwenu Kilimanjaro usiegemee Arusha mkuu.Waswahili bhana,haya mambo huwezi sikua Arusha na kilimanjaro,mikoa ya watu waliosoma na kujiamini,
Kwanini?Hizo huenda zikawa ni chuki za kisiasa
Unaacha kuzungumzia mada husika unaleta ushamba wa kisiasa, tangu umeanza kumtaja huyo bashite umefanikiwa nini? umemtoa madarakani au? Mauaji ya Rufiji na bashite wako huyo wapi na wapi?
Kwani uongo, tendeni haki kwa Bashite jamii ijue laasivyo raia wataendelea kutoa hukumu wenyewe
heb saidia polis(kimyakimya) wapate pa kuanzia. angalau ww una ABC za tatizo husika.
pole kwa wafiwa