Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya anapata wapi jeuri ya kudharau maamuzi ya Mahakama Kuu?

jkipaji

JF-Expert Member
Sep 22, 2019
5,800
7,704
Watanzania wenzangu naomba niwaaulize, hivi Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya anapata wapi jeuri ya kudharau maamuzi (judgement) ya Mahakama Kuu (High court)?

Eti badala ya kukazia Hukumu ya Mahakama Kuu, yeye ananzisha mashauri upya! Kweli hii ni haki?
 
Kama kafanya hivyo, basi mpuuzi mkubwa. Andik barua kwa jaj Mkuu ukilalamika au kabla ya kwenda huku andika barua kwa Hakimu Mkuu Mkazi wa Mkoa wako. kama hujapata haki andika kwa Jaji Kiongozi, then jaji Mkuu, utapata usaidizi.

Huyo mwenyekiti anakula Rushwa
 
Asante sana Mkuu ubarikiwe sana kwa ushauri wako mzuri sana!!
 
Kama kafanya hivyo, basi mpuuzi mkubwa. Andik barua kwa jaj Mkuu ukilalamika au kabla ya kwenda huku andika barua kwa Hakimu Mkuu Mkazi wa Mkoa wako. kama hujapata haki andika kwa Jaji Kiongozi, then jaji Mkuu, utapata usaidizi.

Huyo mwenyekiti anakula Rushwa
Si anaweza hata kumfungulia kesi?
 
Kama kafanya hivyo, basi mpuuzi mkubwa. Andik barua kwa jaj Mkuu ukilalamika au kabla ya kwenda huku andika barua kwa Hakimu Mkuu Mkazi wa Mkoa wako. kama hujapata haki andika kwa Jaji Kiongozi, then jaji Mkuu, utapata usaidizi.

Huyo mwenyekiti anakula Rushwa
Tangu lini jaji mkuu,hakimu mkuu mkazi wa mahakama wakahusika na mabaraza ya ardhi? Yale yana mfumo wao kabisa na hayasimamiwi moja kwa moja na mahakama kuu.Ndio maana yako chini ya wizara ya ardhi na nyumba,na wenyeviti wake huteuliwa na waziri husika.
 
Hujanielewa. Kama Kuna kitu unaona kinataka kuvunja Haki yako unaweza kulalamika Kwa watu hao! Nina kesi kadhaa ambazo Jaji Mkuu aliingilia kati na kuamuru CA isikikize malalamiko hayo na kuyatolea maamuzi (kesi ilkuwa CA mhusika akaona kuna haki inavunjwa)
 
Sasa mabaraza ya ardhi yana kiongozi wake mkuu anayeyasimamia,hujaenda kutoa malalamiko yake,una muacha unaenda kumuona mtu ambaye,hana mamlaka nayo ya moja kwa moja?!kama umefuata utaratibu unaotakiwa na imeshindikana hapo sawa!!
Hakuna kitu kama hicho,fuata utaratibu unavyotakiwa kwanza ,bora hata unge mshauri akamuone katibu mkuu wizara ya ardhi na nyumba.Yeye ndiye angemuelekeza anzie wapi.
 
Nasema ngoja nkupe ushahidi...najaribu ku search kwenye Pc yangu nitakuwekea ninachokiema... sisemi kwa maoni yangu....
 
Sio kama tunabishana mkuu!!kwenye kesi kama hii,kesi za ardhi hazihusiani kabisa na mfumo wa mahakama za kawaida,hata hiyo ya juu ni ya kitengo cha ardhi!!Afuate proper channels kwanza za kiu simamizi.
 
Back
Top Bottom