Mkuu, bora ya mie ninayetetea chama changu, chama tawala, chama kikubwa barani Afrika, chama cha wastaarab, chama mama. Kuliko wewe unashabikia saccos ya akina Mbowe na Slaawanaolipwa lumumba utawajua tu kwa idadi ya comments zao,pole kwa kuwa mtumwa wa chama cha mizigo
Soma vizuri. Si kukurupuka tuKimemuwowa nani? dadako? Tukifuatilia computer ID yako tukakujua na tukakupeleka mahakamani ukatoe ushahidi jinsi chadema inavyoua watu uhalo utakutoka mpaka kwenye viatu, msipende kuropoka, wengine tunatafuta mashahidi hapa!
Mkuu, bora ya mie ninayetetea chama changu, chama tawala, chama kikubwa barani Afrika, chama cha wastaarab, chama mama. Kuliko wewe unashabikia saccos ya akina Mbowe na Slaa
Mkuu, utahesabu sana comments za watu. Chama lenu ndo linakufa hivoooooooo!Magamba utwajua kwa malipo ya idadi ya comments! Mfano hai Lizaboni anaongoza kwa comments
Mara hii umesahau mkuu? Ni buku sabaunalipwa ngapi kwa siku?
Mkuu, utahesabu sana comments za watu. Chama lenu ndo linakufa hivoooooooo!
Nimemsikia namie "m..kumchuzi" eti...amasema "walisema kwnini unamuunga mono zitto" mbona hakutangaza watesi aliowataja ulimboka! auanaowalalamikia Kibanda!! Hizo ni propaganda za kipumbavu ninimezidi kumdhrau Kova!! Kumbe huu mcezo unachewa na Mhakama,Zitto, Polisi, Ikulu!! CCM hata wafanyeje wtanzania hawatarudi nyuma!
Inatosha mkuu. Kuna wengine hata hiyo buku saba hawaipati japo wanafanya kazi ngumu kwa siku. Mie inanitosha sanacomments zote hizi buku saba tu...mchumia tumbo
ugaidi ni hatari sana
UKITAKA KUJUA KWAMBA KOVA HAFAI KUWA KATIKA NAFASI ALIYONAYO SOMA HII, JANA KWENYE TAARIFA YA HABARI ALISEMA YONA ALITEKWA NA BAADA YA KUTEKWA ALIFUNGWA KITAMBAA CHEUSI KICHWANI LAKINI UKIANGALIA MAHOJIANO KATI YA YONA NA WAANDISHI NA YEYE ANASEMA ALIVULIWA shirt wakamfunga usoni. unaweza ukaona uongo wa kova
Mtekwa anasema alifika na kunyanyuliwa moja kwa moja lakini KOV anasema walifika kwanza wakaongea kwa muda ndipo wakamnyanua
CHADEMA wanahusika msituletee za kuleta hapa.KAMA ni mfuatiliaji mwenendo wa siasa ndani ya chadema kuna tuhuma nyingi za watu kutishwa kwa meseji, kwa simu hii inatishia uhai wa chama. ushahidi hata hapa jf kuna watu wamekuwa wakisema wazi kwamba zito aende arusha akafanye mkutano aone kitakochotokea huwezi kuignore kauli hizo kama hazina msingi kutokana na kinachotokea hivi sasa
hembu angalia
1, kifo cha chacha wangwe hadi leo uchunguzi wake una utata na kauli za hivi karibuni ni kuwa mauaji yake huenda yalipangwa
2. kupigwa kwa mwenyekiti wa chadema temeke bwana yona na mwanachama mwenzake wa chadema ambae huenda anamaagizo from somewhere.
3. kuna wanachama na viongozi wa chadea wanakesi inaendelea kule kanda ya tabora ya kudhuru kwa tindikali kule igunga
4. kuna kiongzi wa usalama wa chadema LWAKATARE ambae alionekana kwenye mkanda wa video wenye utata kuhusika kutaka kumteka mhariri bwana msaki
5. bwn zito kuwapeleka baadhi ya wanachama na viongozi wa chadema mahakamani kwa kutishia maisha na kumchafua motandaoni je hii ni sawa
6.kupigwa kwa bwana samso mwigamba katika kikao kilichpfanyika arusha na kunyanganywa labtop yake na wanachama wenzake kule arusha
7. kupigwa kwa mjumbe kutoka kigoma bwna shabani baada ya kusadikika kuwasiliana na watu wazito
note
hizi ni dalili kuwa ugaidi unainyemelea chadema, chama kijitafakari na kuwaonya wanachama wake kwani hata kama chama hakihusiki kitapata damage kubwa kwa wanachama wake kuhusika katika ugaidi
Siwaamini tena Chadema, ngumu kumeza.
basi endelea kuwaamin akina kova na na akna nape!