Mwenye Update kwa tuliofanya Interviews zile post TANAPA.

chemshabongo

Member
Apr 5, 2012
27
6
Salamu zenu Wadau naomba kujua kwa wale ambao tulifanya Interviews Written na oral kwa post mbalimbali za shirika la TANAPA ambazo zilifanyika centers tofauti Dar mwezi August, jee waliofanikiwa wameshaitwa kazini.??
 
Endelea kusubiri kama unavyosubili ujio wa Jesus Christ!! kwa ufupi imekula kwako!!
 
Imeshakula kwako kaka, watu walikuwa wanapiga kazi hata kabla ya interview
 
Kama una m2 huko ni ndoto hzooo Kuingia huko Tanapa,utasubiri km ujio wa yesu akirudi 2 dunia imekwisha
 
Katika taasisi za serikali ambazo siombi kazi hata kama wakitangaza ni hawa jamaa wa TANAPA, just because they are hopeless maandazi kama huna wakukushika mkono.
 
Mi nimeshaitwa na interview sijafanya hata,mjomba wangu yupo pale ni bosi
 
Wale wa accounts wapo mzigoni mkuu 100% am sure hao wengine sina habari nao
 
TANAPA walitumia nafasi zile kupatia pa diem, ofisi zipo Arusha interview inafanyikia Dar, why Dar maana walioaply walitokea Tanzania nzima so ilitakiwa kama ni kubalance waipeleke Dodoma basi
 
Back
Top Bottom