BabaH Senior Member Jan 25, 2008 103 8 Jan 2, 2013 #1 Ndugu zangu, nimesota sana, sasa nimeitwa na jamaa wa ajira kwa ajiri interview, sala zenu muhimu sana
Ndugu zangu, nimesota sana, sasa nimeitwa na jamaa wa ajira kwa ajiri interview, sala zenu muhimu sana
Nicole JF-Expert Member Sep 7, 2012 4,274 2,514 Jan 2, 2013 #2 Wanauliza maswal kulingana na profeshen yako so piga msuli aisee hakuna blahblah tafuta madesa yote ujikumbushe ulojifunza college
Wanauliza maswal kulingana na profeshen yako so piga msuli aisee hakuna blahblah tafuta madesa yote ujikumbushe ulojifunza college
M Mea2 Member Sep 5, 2012 98 16 Jan 2, 2013 #3 soma sana vitini vyote ulivyokua navyo chuo jamaa wanauliza mule mule
Likwanda JF-Expert Member Jun 16, 2011 3,911 1,131 Jan 2, 2013 #4 Usihau kujua job description yako na humo ndipo maswali mengi hutokeamo.
Y YOSAYOSA Member Jun 26, 2012 31 2 Jan 8, 2013 #5 kwa hawa jamaa lazima uwe umepitia madesa,wako kushule zaidi,ilakikubwa ni kumuomba mungu akutangulie,usihofu kama nafasi yako utapata tu.
kwa hawa jamaa lazima uwe umepitia madesa,wako kushule zaidi,ilakikubwa ni kumuomba mungu akutangulie,usihofu kama nafasi yako utapata tu.