Nimeona kwenye kitabu cha TCU mwaka huu.
Kweli ipo ya miaka mi5 hata mm nimeiona kwenye kitabu cha TCU ila sijajua tofauti ni ipi
nakushukuru kwa hilo,maana hawa tcu hawajielewi kbsamimi nina roomate anasoma course hii ni miaka mitatu na imegawanyika kama ifuatavyo
-semester ya kwanza na ya pili utasoma kama bcom wengine yani acounting, marketing, human resource vyote utasoma
-mwaka wa pili yani semester ya tatu utaanza kumix kwa kusoma database na information system kama introduction
- kuanzia semester ya 3 kuendelea utaanza kuspecialize kwenye course yako na kuanza kusoma programming mambo ya visual
Kusema ukweli walimu extreme wanafundishwa sana tu course inamalizwa ndani ya wiki 2 ila nafkiri tatizo linaweza kuisha maana sio kwamba walimu hawapo wapo sema hawana makubaliano na chuo
-bcom ms imekua grouped na bcom zengine so hata college wameekwa social science wakati walimu wanaopaswa kuwafundisha wapo informatics na walimu wa informatics wanademand mshahara twice kuja kufundisha huku social sababu hio ikapelekea kutafutwa part timers walimu toka sua na udsm
Ila by the way ni course nzuri na nafkiri itakua kitanzi kwa wana it katika organisation maana hawa jamaa ni wafanyabiashara wana IT wapo fiti pande mbili wana soko sana kwenye ajira na hapa udom wanachukuliwa wachache kama 24 tu kwa mwaka
TCU wanaichanganya sana hii coz ipo unique na sometimes wanaita Information Management na mara iitwe Management Science swala hili limefanya watu wachanganye habari na kujikuta wamechagua kitu kimoja kwa majina mawili tofauti ila full name yake Bcom Ms(information system) kundi ambalo lilichagua Informatio system walijikuta hawana Admision hadi leo sielewi watagraduate kwa jina gani hata ARIS wamekuwa hawatambuliki na kulazimika kupeleka matokeo privately.Kuna dada anayesoma hii coz pale UDOM ndiye kanifanya niyajue yote nilipokuwa namsaidia kufanya follow up baada ya kuchagua hiyo phrase kwenye bracket na kuhisi ni coz independently lingine pale UDOM coz hii haina walimu wanategemea part time hivyo ujipange kwa kufundishwa kwa mtindo wa EXTREME kama vijana wanavyofanyiwa sasa.
Hapo kwenye red,huyo dada anaitwa nani?