jembe la kigoma
Senior Member
- Mar 23, 2012
- 119
- 19
Wakuu naomba msaada mwenye CV ya mwanahabari wa zamani ambaye pia ameteuliwa na jk kuwa mkuu wa wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma,kuna tetesi alikuwa mbunge 2005-2010,jimbo gani?uzoefu wake wa kazi,kwani kama ni kazi aliyotumwa na JK kurudisha imani ya wanaKibondo anaifanya kweli,achilia mbali mgogoro wake na mbunge wa Muhambwe ndugu Felix Mkomali.