Mwembeyanga ni gharika, ni kwenye mkutano wa mgombea Urais wa CHADEMA, Lowassa

HoodRich

JF-Expert Member
Sep 13, 2015
208
66
Habari za muda wadau,

Ndio naingia viwanja vya "Mwembeyanga" hapa tayari uwanja umeshona, barabara za lami zinazopita hapa zimefungwa.

Kweli Lowassa kipenzi cha watu.

Naleta picha muda si mrefu wadau.
Tukutane 25.10.2015

View attachment 293367View attachment 293368View attachment 293369View attachment 293370
attachment.php
 
sijui kama pempasi zipo za kutosha kwenye hayo maeneo maana mzee hali yake mbaya.
 
Back
Top Bottom